Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1661 POSTS 0 COMMENTS

Rais Museveni apokea mwafaka wa Butiama kutoka kwa Mashariki Fest

0
Afisa Mkuu mtendaji wa shirika la Afrika Mashariki Fest Dkt. Kisembo Ronex Tendo alikutana na Rais Yoweri Kaguta Museveni jana katika ikulu ya Entebe...

Spika Wetang’ula awaasa wabunge wanaosimamia kamati

0
Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang’ula amewaonya wenyeviti wa kamati za bunge wanaokosa vikao kuwa watapokonywa nafasi zao iwapo wataendelea kususia vikao hivyo. Akiwatubia...

Kesi ya kusikiza kubanduliwa kwa Gachagua kurejelewa Jumanne

0
Jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu litaanza tena kusikiza kesi ya kubanduliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua leo Jumanne asubuhi. Hii ni baada ya...

Wakenya watatu kuwania tuzo ya mwanariadha bora barabarani

0
Wanariadha watatu wa Kenya wameteuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka  katika mbio za barabarani katika tuzo za Shirikisho la riadha zitakazoandaliwa Disemba...

Watu 24 waangamia kwa mkasa wa lori la mafuta Uganda

0
Idadi ya watu walioangamia kwenye mkasa wa moto wa lori la mafuta katika barabara ya Gulu-Kampala wilayani Wakiso, Jumanne iliyopita imepanda na kufikia 24. Kulingana...

Wafanyikazi wa afisi ya Gachagua watakiwa kuwasilisha kandarasi Kortini

0
Wafanyikazi 108 katika afisi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, walioshurutishwa kwenda likizo wametakiwa kuwasilisha nakala za kandarasi za ajira zao mahakamani. Jaji wa mahakama...

Man U yampiga teke Ten Hag

0
Usimamizi wa klabu ya Manchester United umemtimua meneja Erik Ten Hag kufuatia msururu wa matokeo mabovu ambapo klabu hiyo ni ya 13 ligini na...

Vinícius Júnior apigiwa upato kutwaa tuzo ya Ballon d’or mwaka 2024

0
Kiungo mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Vinícius Paixao de Oliveira Júnior, anapigiwa upato kutawazwa mshindi wa tuzo ya mwanandinga...

Marekani kumenyana na Korea nusu fainali Kombe la Dunia kwa mabanati

0
Marekani itamenyana na Korea Kaskazini katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 katika Jamhuri ya...

Wanyonyi awaongoza wakazi wa Githogoro kupinga unyakuzi wa ardhi

0
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amewaongoza wakazi wa mtaa wa Githogoro katika wadi ya Karura kuandamana kupinga unyakuzi wa ardhi ya umma. Shamba hilo linalozozaniwa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS