Dismas Otuke
Kenya yaikwatua Tanzania CECEFA U-20
Timu ya Kenya kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 20 imeanza vyema mashindano ya kuwania kombe CECAFA, baada ya kuwalaza wenyeji Tanzania...
Wakenya milioni 12 wamejiandikisha kwa SHIF, yasema Wizara ya Afya
Wizara ya Afya imetangaza kuwa jumla ya Wakenya 12,704,548 wamehamia kwa Bimpa mpya ya Afya ya Jamii, ya SHIF chini ya Mamlaka ya Afya...
Gachagua amwomba Ruto msamaha
Naibu Rais Rigathi Gachagua anayekabiliwa na masaibu na hatari ya kufurushwa ofisini amemwomba msamaha Rais William Ruto, siku mbili kabla ya kufika bungeni kujitetea.
Gachagua...
Junior Starlets waimarisha mazoezi kwa Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasicha chini ya umri wa miaka 17 ,imeendeleza mazoezi yake katika Jamhuri ya Dominica, kujiandaa kwa makala ya...
Sakaja miongoni mwa mashahidi dhidi ya Gachagua
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ni miongoni mwa mashahidi watatu watakaokula kiapo kutoa ushahidi dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Wengine watakaotoa ushahidi siku ya...
Peres Jepchirchir kutimka Vedanta Delhi Half Marathon
Bingwa wa London Marathon na mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia ya nusu marathon Peres Jepchirchir wa Kenya, ametoa ithibati kushiriki makala ya...
Ruto afanya uteuzi wa wenyekiti wa mashirika ya umma
Rais William Ruto amefanya uteuzi wa wenyekiti wa mashirika kadhaa ya humu nchini kwa kipindi cha miaka mitatu.
Uteuzi huo ni katika utumishi wa umma,mashirika...
Immaculate Anyango apigwa marufuku na AIU kwa kula muku
Bingwa wa Sirikwa Classic Cross country mwaka huu Emmaculate Achol Anyango, amefungiwa kushiriki mashindano baada ya kupatikana kuwa mlaji muku.
Kulingana na...
Jopokazi la AFC Leopards laanza ziara Tanzania
Jopokazi la klabu ya AFC Leopards limeanza ziara yake nchini Tanzania katika klabu ya Yanga, leo kutathmini mbinu bora za kubadilisha timu hiyo ya...
Maafisa wanne wa polisi nchini Uganda wawekewa vikwazo vya usafiri na...
Maafisa wanne wakuu wa polisi nchini Uganda wamewekewa vikwazo vya kusafiri nchini Marekani, kutokana na kuhusika kwao katika visa vya ukiukaji haki za kibinadamu.
Mathew...