Dismas Otuke
Gachagua kupewa saa tano kujitetea Seneti
Naibu Rais Rigathi Gachagua atapewa jumla ya muda wa saa tano kujitetea atakapofika mbele ya bunge la Seneti Alhamisi wiki ijayo.
Kesi ya Gachagua itaanza...
Leo ni siku ya ndovu kumla mwanawe Kenya dhidi ya Cameroon
Kenya itamenyana na Cameroon leo kuanzia saa moja usiku katika uwanja wa Ahmadou Ahidjo Japoma mjini Yaounde, Cameroon katika mechi ya kundi J kufuzu...
Sogora wa Tennis Rafael Nadal astaafu akiwa na umri...
Gwiji wa tennis Rafael Nadal wa Uhispania ametangaza kustaafu akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kushinda mataji 22 ya Grand Slam .
Nadal,amecheza...
Kocha Firat atangaza wachezaji 24 kwa kibarua cha Cameroon
Kocha wa timu ya taifa ya Soka ya Kenya-Harambee Stars,Engin Firat ametaja kikosi cha wanandinga 24, wakaoshiriki mechi mbili za kundi J kufuzu kwa...
Usafishaji wa mto Nairobi kukamilika kwa mwaka mmoja unusu
Serikali imetoa hakikisho la kukamilisha usafishaji wa mto Nairobi kwa muda wa miezi 18 ijayo.
Waziri wa Mazingira Aden Duale ametangaza haya leo alipoongza sherehe...
Karua ashutumu bunge kwa kumbandua Gachagua
Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua amesema ameshutumu bunge kwa kutumika vibaya, kufuatia hatua yake ya kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Karua amesema...
Serikali kutumia shilingi milioni 100 kuwarejesha Wakenya nyumbani kutoka Lebanon
Serikali imetenga shilingi milioni 100 kuwahamisha Wakenya walio nchini Lebanon, kutokana na mashambulizi ya majeshi ya Isreal dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah.
Haya yamesemwa na...
Afisa bandia wa EACC anaswa kwa kutapeli Wakenya
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC,imemkamata jamaa ambaye amekuwa akitapeli umma akijidai kuwa Mkurugenzi wa kijasusi wa tume hiyo.
EACC ilifanya...
Ni afueni kwa Wakenya baada ya mikopo ya benki kupungua kwa...
Ni afueni kwa Wakenya baada ya Benki Kuu CBK kutangaza kushuka kiwango cha mikopo kutoka asilimia 12.75, hadi asilimia 12 katika benki zote.
Ni mara...
Junior Starlets waibwaga Dominica, mechi ya kirafiki
Timu ya taifa ya Kenya kwa wachezaji soka walio chini ya umri wa miaka 17 -Junior Starlets, waliwagutusha wenyeji wa fainali za Kombe la...