Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1418 POSTS 0 COMMENTS

Mkurugenzi wa zamani wa KEMRI Davy Koech afariki

0
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya matibabu nchini (KEMRI) Dkt Davy Koech, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73, baada ya kuugua kwa...

Chebet na Moraa watesa Zurich Diamond League

0
Bingwa mara mbili  wa Olimpiki Beatrice Chebet na bingwa wa Dunia  Mary Moraa,  waliibuka mabingwa  katika mkondo wa 14 wa Zurich  Diamond  League Alhamisi...

Vikao vya Seneti Mashinani Busia vyaahirishwa hadi Oktoba

0
Vikao vilivypangwa vya Seneti mashinani vilivyostahiki kuandaliwa kati ya Septemba 23 na 27 vimeahirishwa hadi Oktoba 28. Karani wa Bunge la seneti Jeremiah Nyegenye amemwandikia...

Olunga kukosa mechi mbili za Kenya kufuzu AFCON

0
Nahodha wa Harambee Stars Michael Olunga huenda akakosa kucheza katika mechi ya Ijumaa, kufuzu kwa fainali za AFCON dhidi ya Zimbabwe na ile ya...

Tume ya kitaifa ya huduma kwa polisi yabatilisha upandishaji...

0
Tume ya kitaifa ya huduma kwa polisi (NPSC) imebatilisha upandishaji vyeo kwa maafisa wa polisi, uliotekelezwa maajuzi na kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Gilbert...

KBC kurusha mubashara mechi za Kenya kufuzu AFCON

0
Shirika la utangazaji Kenya,KBC litarusha mubashara mechi mbili za kwanza za Kenya,  kufuzu kwa fainali za kombe la bara Afrika AFCON  Ijumaa hii na...

Chipukizi wa Kenya watua kutoka mashindano ya Dunia

0
Wanariadha chipukizi wa Kenya wamewasili nchini mapema Alhamisi kutoka mjini Lima, Peru wakikoshiriki mashindano ya Dunia. Timu hiyo ya wanariadha 19 iliwasili katika angatua ya...

Uhesabu watu nchini Burundi waingia wiki ya tatu

0
Shughuli ya kuhesabu watu nchini Burundi imeingia wiki ya tatu katika zoezi litakalokamilika Septemba 15. Taifa hilo la Afrika Mashariki linaheabu raia wake kwa mara...

Congo yatarajia chanjo ya kwanza ya Mpox leo Alhamisi

0
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo inatarajia kupokea shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Mpox ,Alhamisi Septemba 5 huku ya pili ikitarajiwa...

Sudan Kusini yashauriwa kuahirisha uchaguzi mkuu

0
Sudan Kusini imeshauriwa kuahirisha uchaguzi wake mkuu uliopangwa kuandaliwa Disemba mwaka huu kwa  kukosa mipango madhubuti ya kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki. Kundi la...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS