Dismas Otuke
Ulinzi wa Kindiki waimarishwa maradufu
Ulinzi wa Naibu Rais Mteule Abraham Kithure Kindiki uliimarishwa jana jioni maradufu, punde baada ya mahakama huu kuruhusu kuapishwa kwake .
Imebainika kuwa zaidi ya...
Korea Kaskazini yaikwatua Marekani na kufuzu fainali ya Kombe la Dunia
Korea Kaskazini ilifuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia kwa akina dada chini ya umri wa miaka 17 baada ya kuwatema nje Marekani ...
Ruto aelekea Bujumbura kuhudhuria kongamano la COMESA
Rais William Ruto ameondoka nchini mapema leo Alhamisi kuelekea mjini Bujumbra nchini Burundi kuhudhuria Kongamano la 23 la Soko la Pamoja la Mataifa ya...
Kombe la Carabao: Tottenham kumenyana na Man U
Tottenham Hotspur itawaalika Manchester United katika robo fainali kuwania kombe la EFL Carabao, baada ya vijana hao wa London kuwatema nje Manchester City mabao...
Amorim kuzinduliwa kama meneja mpya wa Manchester United
Ruben Amorim anatarajiwa kuzinduliwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Manchester United kabla ya mwishoni mwa juma hili kumrithi Erik Ten Hag, aliyeenguliwa mapema...
Harambee Stars watua Kampala kukabiliana na Sudan Kusini
Timu ya taifa ya soka ya Kenya kwa wachezaji wanaosakata soka barani Afrika pekee imewasili jijini Kampala, Uganda mapema leo Alhamisi. Timu hiyo imewasili...
COTU yataka mageuzi ya makato ya SHIF kuwanusuru wafanyakazi
Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini (COTU) unataka mazungumzo ya kurekebisha makato ya bima mpya ya afya ya jamii, SHIF na yale ya ujenzi...
Lisu alalamikia matumizi ya vyombo vya dola kukandamiza upinzani Tanzania
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lisu amelalamikia matumizi ya vyombo vya dola na serikali tawala nchini humo kukandamiza upinzani.
Lisu ambaye ni Naibu Mwenyekiti...
Kindiki kuapishwa au kutoapishwa kubainika leo mahakamani
Kitendawili cha endapo Naibu Rais mteule Profesa Abraham Kithure Kindiki ataapishwa rasmi kumrithi Rigathi Gachagua kitateguliwa leo Alhamisi.
Hii ni pale jopo la majaji...
Ufaransa yaunga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara
Ufaransa imetangaza kuinga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara uliodumu miongo kadhaa baina ya Morocco na Algeria.
Haya yametangazwa mapema wiki hii na Rais wa...