Dismas Otuke
Azimio watangaza maandamano Jumatano ijayo
Muungano wa Azimio One Kenya Alliance, umetangaza kuandaa maandamano Jumatano ijayo kote nchini kwa kipindi cha siku moja kuanzia saa kumi na mbili asubuhi...
KMTC yatangaza nafasi za mafunzo katika vyuo vyake 83
Chuo cha mafunzo ya matibabu nchini KMTC kimetangaza kufungua kupokea maombi kwa wanafunzi wanaotarajiwa kuanza masomo mwezi Septemba mwaka huu.
Kulingana na arifa iliyoandikwa na...
Marekani waanza kutetea kombe la dunia kwa ushindi
Marekani wameanza vyema harakati za kutetea kombe la dunia kwa wanawake kwa ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya limbukeni Vietnam, katika mchuano...
Omanyala asajili ushindi wa kwanza wa Diamond League
Bingwa wa jumuiya ya madola Ferdinand Omanyala hatimaye aliandikisha historia kwa kushinda mbio za mita 100 katika mashindano ya Diamond League kwa mara ya...
Kalonzo akutana na wajumbe wa kimataifa nyumbani kwake
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, alifanya mkutano na ujumbe viongozi wa kimataifa katika makazi yake mtaani Kareni kaunti ya Nairobi siku ya...
Biden amteua mwanamke wa kwanza kuongoza jeshi la maji
Rais wa Marekani Joe Biden amemteua kiongozi wa jeshi la maji mwanamke kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa hilo.
Lisa Franchetti amefanya kazi...
Maurice Ogeto mlinzi wa Raila aachiliwa huru
Mlinzi wa kiongozi wa upinzani Raila odinga-Maurice Ogeto ameachiliwa huru kutoka gerezani.
Akithibitisha taarifa hizo Mkurugenzi wa mawasiliano wa chama cha ODM Philip Etale alisema...
Mbunge wa Kilifi Ken Chong kusalia korokoroni hadi Jumatatu
Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chong ana spika wa bunge la kaunti hiyo Teddy Mwambire watasalia korokoroni hadi Jumatatu ijayo baada ya hakimu wa...
Faith Kipyegon avunja rekodi ya tatu ya dunia
Bingwa mara mbili wa dunia na Olimpiki Faith Kipyegon amevunja rekodi ya dunia ya umbali wa maili moja katika mkondo wa monaco Diamond league...
Majangili wamvamia kipa wa PSG Donnaruma na kupora mikufu ya shilingi...
Maafisa wa Polisi nchini Ufaransa wameanzisha uchunguzi wa wizi wa kimabavu uliotekelezwa na majambazi waliojihami nyumbani kwa kipa wa klabu ya Paris St Germain...