Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1661 POSTS 0 COMMENTS

Kiptum na Chepng’etich kushiriki Chicago Marathon

0
Mabingwa watetezi wa mashindano ya London na Chicago Marathon Kelvin Kiptum na Ruth Chepngetich wamethibitisha kuwa watashiriki makala ya mwaka huu ya mbio za...

Niko tayari kujadiliana na Rais Ruto mbele ya mpatanishi, asema Raila

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga amesimama kidete akisema kuwa yuko tayari kuketi kwenye meza ya mazungumzo na Rais William Rito...

Wanafunzi zaidi ya 200 wanufaika kwa msaada wa masomo

0
Wanafunzi 205 wamenufaika na msaada wa masomo ya vyuo wa kima cha shilingi milioni 12 kutoka kwa wakfu wa Prudence, unaomilikiwa na kampuni ya...

Umoja wa Afrika washutumu jaribio la mapinduzi Niger

0
Umoja wa Afrika, AU umeshutumu jaribio la mapinduzi ya serikali nchini Niger. Baadhi ya walinzi wa Rais Mohamed Bazoum walimgeuka, kumfungia na kumzuia kuondoka katika...

Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga aachiliwa huru

0
Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga na seneta wa kaunti hiyo Stewart Madzayo ,wameachiliww huru kwa dhamana ya shilingi 50,000 kila mmoja. Madzayo na Chonga...

Mnyama Simba yamsajili kipa kutoka Brazil

0
Miamba wa nasoka Tanzania bara klabu ya Simba Sports Club imetangaza kukamilisha usajili wa kipa raia wa Brazil Luis Jefferson kwa mkataba...

Uhispania kwenye njia panda baada ya uchaguzi mkuu

0
Uhispania imejipata kwenye njia panda ya mrengo wa kulia na ule kushoto kushindwa kutwaa ushindi katika mchakato wa kuunda serikali mpya kufuatia uchaguzi wa...

Kenya kukosa mwakilishi wa ligi ya mabingwa Afrika kwa mwaka wa...

0
Kenya haitakuwa na mwakilishi katika mashindano ya kuwania kombe la ligi ya mabingwa Afrika,kufuatia kutimuliwa kwa mabingwa wa ligi Gor Mahia kwa ukiukaja wa...

Chepkoech ashinda London Diamond League

0
Chepkoech ashinda mitaa 3000 kuruka viunzi na maji mashindano ya London Diamond League yaliyoandaliwa Uingereza Jumapili jioni. Bingwa wa jumuiya ya madola Jackiline Chepkoech ameshinda...

Wazito FC wajihakikishia kushiriki ligi kuu FKF msimu ujao

0
Wazito FC imesalia ligini msimu ujao baada ya kuwashinda Migori Youth, mabao matatu kwa bila katika mechi ya mchujo iliyosakatwa Jumamosi katika uwanja wa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS