Dismas Otuke
ECOWAS yaiwekea Niger vikwazo
Umoja wa Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imeiwekea vikwazo Niger kufuatia jaribio la mapinduzi ya serikali.
Kulingana na taarifa ya pamoja ya ECOWAS kufuatia kikao...
Umoja wa Falme za Kiarabu ulihusika katika mapinduzi ya serikali Niger
Gazeti moja nchini Algeria limekiri kuhusika kwa Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE katika mapinduzi ya serikali nchini Niger.
Gazeti hilo la lugha ya Kifaransa...
Ufaransa yaiduwaza Brazil Kombe la Dunia kwa vidosho
Ufaransa iliwagusha Brazil na kuwazabua mabaoa 2-1 katika mchuano wa kundi F uliopigwa Jumamosi jioni mjini Brisbane nchini Australia.
Eugenie Le Sommer aliwaweka Ufaransa uongozini...
Safaricom kuongeza ada za utoaji huduma
Kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano nchini,Safaricom imetangaza kuongeza ada kwa huduma zake zote kufuatia kutekelezwa kwa sheria za fedha za mwaka 2023.
Safaricom imetoa...
Tanzania yalenga viwanja vitatu katika ombi la pamoja la AFCON 2027
Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tanzania TFF,Wallace Karia ana imani bid ya pamoja ya mataifa ya Afrika mashariki kuandaa kipute cha AFCON mwaka...
Jeshi kuwasajili makurutu Agosti na Septemba mwaka huu
Idara ya jeshi la Kenya limetanga zoezi la kuwasajili makurutu kati ya Agosti na Septemba mwaka huu katika kaunti zote 47.
Miongoni mwa nafasi zilizotangazwa...
Polisi wapata mbuzi 13 walioibwa kutoka kaunti ya Laikipia
Maafisa wa polisi wamepata mbuzi 13 katika eneo la Wamba kaunti ya Samburu, waliokuwa wameibwa kutoka kaunti ya Laikipia.
Mifugo hao waliripotiwa kuibwa tarehe 23...
Juventus yafurushwa Europa Conference league kwa utundu
Juventus imeng'atuliwa kuahiriki mashindano ya kuwania kombe la UEFA Europa Conference League msimu ujao kwa ukiukaji wa sheria A fedha FFP.
UEFA pia...
Bado nitasukuma kuondolewa kwa sheria ya fedha ya mwaka 2023 asema...
Seneta wa Busia Okiya Omtata amesimama kidete kupinga sheria mpya ya fedha ya mwaka 2023 hadi ifutiliwe mbali na mahakama.
Akizungumza mahakamani Ijumaa ...
Uhuru ahudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na upinzani
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amehudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, mtaani Karen kuwakumbuka Wakenya wanaodaiwa kuangamizwa...