Dismas Otuke
Kinara wa soka Uhispania Luis Rubiales adinda kujiuzulu kutokana na busu
Raisa wa shirikisho la kandnda nchini Uhispania RFEF Luis Rubiales, amekataa kata kata kujiuzulu kufuatia shutuma zinazomkabili baada ya kumbusu mchezaji wa timu ya...
Mwafaka wa mazungumzo kati ya serikali na upinzani kutiwa saini Jumatano...
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani inatarajiwa kusaini mkataba wa maelewano Jumatano ijayo kabla ya mazungumzo kuanza rasmi.
Haya yameafikiwa leo...
Yego akosa kufuzu kwa fainali ya urushaji sagai
Bingwa wa dunia mwaka 2015 katika urushaji sagai Julius Yego amekosa kufuzu wka fainali ya makala ya mwaka huu mjini Budapest, Hungary.
Yego alibanduliwa katika...
Malkia Strikers watwaa ubingwa wa Afrika
Timu ya taifa ya Voliboli ya Wanawake maarufu kama Malkia Strikers ndio mabingwa wa Afrika baada ya kuwachakaza Misri seti tatu kwa bila kwenye...
Walimu 36,000 kupandishwa ngazi na TSC
Tume ya kuwaajiri walimu, TSC imetangaza nafasi za kazi 36,275 kwa walimu watakaopandishwa vyeo.
Tangazo hili linajiri wiki moja pekee baada ya tume hiyo kutangaza...
Mabarubaru Wanyonyi na Kipng’etich kuwania tiketi ya fainali ya mita 800
Chipikuzi wa Kenya Emmanuel Wanyonyi na Alex Kipng'etich watajitosa uwanjani Alahamisi usiku mjini Budapest,Hungary kwenye fainali ya mita 800 huku mashindano ya Riadha Duniani...
Wiyeta Girls watinga nusu fainali, St Anthony Boys Kitale na Shanderema...
Wiyeta Girls ya Tranz Nzoia imefuzu kwa nusu fainali ya soka katika michezo baina ya shule za sekondari Afrika Mashariki inyaoendelea mjini Huye nchini...
Malkia Strikers watinga fainali ya Kombe la Afrika na kufuzu kwa...
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawawake almaarufu Malkia Strikers imejikatia tiketi ya kushiriki michezo ya Olimpiki mwaka ujao jijini Paris nchini Ufaransa baada...
Machogu kufika bungeni Alhamisi kufafanua utata unaogubika mfumo mpya wa kufadhili...
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu elimu kutoa ufafanuzi kuhusu utata uliopo katika mfumo mpya wa kuwafadhili...
Kipsang na Cheruiyot wawinda dhahabu telezi ya mita 1500 Budapest
Abel Kipsang na Reynold Kipkorir ndio wakenya watakaojitosa uwanjani jumatano usiku katika fainali ya mita 1500 mjini Budapest Hungary.
Kipsanga anaorodheshwa wa tatu ulimwenguni huku...