Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1561 POSTS 0 COMMENTS

Umoja wa Falme za Kiarabu ulihusika katika mapinduzi ya serikali Niger

0
Gazeti moja nchini Algeria limekiri kuhusika kwa Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE katika mapinduzi ya serikali nchini Niger. Gazeti hilo la lugha ya Kifaransa...

Ufaransa yaiduwaza Brazil Kombe la Dunia kwa vidosho

0
Ufaransa iliwagusha Brazil na kuwazabua mabaoa 2-1 katika mchuano wa kundi F uliopigwa Jumamosi jioni mjini Brisbane nchini Australia. Eugenie Le Sommer aliwaweka Ufaransa uongozini...

Safaricom kuongeza ada za utoaji huduma

0
Kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano nchini,Safaricom imetangaza kuongeza ada kwa huduma zake zote kufuatia kutekelezwa kwa sheria za fedha za mwaka 2023. Safaricom imetoa...

Tanzania yalenga viwanja vitatu katika ombi la pamoja la AFCON 2027

0
Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tanzania TFF,Wallace Karia ana imani bid ya pamoja ya mataifa ya Afrika mashariki kuandaa kipute cha AFCON mwaka...

Jeshi kuwasajili makurutu Agosti na Septemba mwaka huu

0
Idara ya jeshi la Kenya limetanga zoezi la kuwasajili makurutu kati ya Agosti na Septemba mwaka huu katika kaunti zote 47. Miongoni mwa nafasi zilizotangazwa...

Polisi wapata mbuzi 13 walioibwa kutoka kaunti ya Laikipia

0
Maafisa wa polisi wamepata mbuzi 13 katika eneo la Wamba kaunti ya Samburu, waliokuwa wameibwa kutoka kaunti ya Laikipia.  Mifugo hao waliripotiwa kuibwa  tarehe  23...

Juventus yafurushwa Europa Conference league kwa utundu

0
Juventus imeng'atuliwa kuahiriki mashindano ya kuwania kombe la UEFA Europa Conference League msimu ujao kwa ukiukaji wa sheria A fedha FFP. UEFA pia...

Bado nitasukuma kuondolewa kwa sheria ya fedha ya mwaka 2023 asema...

0
Seneta wa Busia Okiya Omtata amesimama kidete kupinga sheria mpya ya fedha ya mwaka 2023 hadi ifutiliwe mbali na mahakama. Akizungumza mahakamani Ijumaa ...

Uhuru ahudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na upinzani

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amehudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, mtaani Karen kuwakumbuka Wakenya wanaodaiwa kuangamizwa...

Jamii ya Wapemba yapewa uraia Kenya

0
Wapemba zaidi ya laki moja wanaoishi nchini wamepewa uraia kuwa mojawapo ya makabila ya Kenya. Wapemba wamekuwa wakiishi nchini kwa miongo kadhaa ila hawajapewa kibali...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS