Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1554 POSTS 0 COMMENTS

Bado nitasukuma kuondolewa kwa sheria ya fedha ya mwaka 2023 asema...

0
Seneta wa Busia Okiya Omtata amesimama kidete kupinga sheria mpya ya fedha ya mwaka 2023 hadi ifutiliwe mbali na mahakama. Akizungumza mahakamani Ijumaa ...

Uhuru ahudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na upinzani

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amehudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, mtaani Karen kuwakumbuka Wakenya wanaodaiwa kuangamizwa...

Jamii ya Wapemba yapewa uraia Kenya

0
Wapemba zaidi ya laki moja wanaoishi nchini wamepewa uraia kuwa mojawapo ya makabila ya Kenya. Wapemba wamekuwa wakiishi nchini kwa miongo kadhaa ila hawajapewa kibali...

AK yabadilisha kikosi cha mbio za Relay kufuzu kwa mashindano ya...

0
Chama cha riadha nchini, AK kimelazimika kufanya mabadiliko kwenye timu ya mita 400 ya wanariadha wanne kupokezana kijiti ya Kenya iliyokuwa isafiri kwenda Ujerumani...

Azimio kutoa mwelekeo Ijumaa

0
Muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja unatarajiwa kutoa mwelekeo kwa wafuasi wake leo Ijumaa. Viongozi wa Azimio wataandaa misa ya wafu mtaani Karen kuwakumbuka...

Hatima ya sheria ya fedha mwaka 2023 kuamuliwa na mahakama

0
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kutoa uamuzi leo Ijumaa kuhusu kesi iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u kupitia kwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi...

Gor Mahia yapiga marufuku usajili wachezaji wa kigeni

0
Mabingwa wa ligi kuu nchini Gor Mahia wametangaza kupiga marufuku usajili wachezaji wa kigeni, baada ya kufungiwa nje ya kipute cha ligi ya mabingwa...

Huduma za mfumo wa e-Citizen zarejea

0
Serikali imetangaza kurejea kwa huduma zote za mtandaoni kupitia mfumo wa e-Citizen kufuatia jaribio la udukuzi lililositisha baadhi ya huduma. Huduma zaidi ya 5,000 za...

Nigeria wawaduwaza wenyeji Australia Kombe la Dunia

0
Nigeria imeweka hai matumaini ya kutinga raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kutoka nyuma na kuwazima wenyeji Australia kwa kuwazabua...

Kenya imejitolea kuangamiza kifua kikuu

0
Kenya imekariri kujitolea kumaliza ugonjwa wa kifua kikuu nchini. Haya yamesemwa Alhamisi na Katibu katika Wizara ya Afya ya Umma Mary Muthioni, alipokuwa akihutubua kikao...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS