Dismas Otuke
Umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kupunguzwa hadi miaka 55
Wabunge wanapendekeza umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma upunguzwe kutoka miaka 60 hadi 55.
Kulingana na wabunge hao, hali hii itawapa vijana fursa ya...
Ichung’wah akiri kupokea mwaliko wa mazunguzo kutoka upinzani
Kinara wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wah amejibu waraka wa mwaliko kwa meza ya mazungumzo kutoka kwa upinzani.
Kiongozi wa muungano wa Azimio...
Morocco wafuzu kwa raundi ya pili ya Kombe la Dunia kwa...
Limbukeni Morocco almaarufu Atlas Lioneses wameigutisha Colombia baada ya kuwacharaza bao moja kwa nunge katika mechi ya kundi H na kufuzu kwa raundi ya...
James Mwangi ateuliwa chansela wa Open University
Afisa Mkuu Mtendaji wa benki ya Equity Group Dkt. James Mwangi ameteuliwa kuwa chansela wa chuo cha kwanza cha kutoa mafunzo kupitia mtandaoni maarufu...
Wafanyakazi kulipia matozo ya nyumba maradufu katika mishahara ya Agosti
Wafanyakazi wote nchini wanatarajia kupokea mishahara ya chini zaidi mwishoni mwa mwezi Agosti kufuatia agizo la serikali la kuanza kutekelezwa kwa ushuru wa nyumba.
Kufuatia...
Watu 20 waangamia Ziwani Victoria nchini Uganda
Watu ishirini wameripotiwa kuangamia baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kutumbukia katika Ziwa Victoria nchini Uganda.
Mashua hiyo ndogo inasemekana kuwabeba watu 34 wakati...
Bei ya mbolea yashuka hadi shilingi 2,500
Serikali imetangaza kupunguza bei ya mbolea kutoka shilingi 3,500 hadi 2,500 kwa kila gunia la kilo 50.
Rais William Ruto ametangaza bei hiyo leo Jumatano...
Banyana yamtafuna Mwitaliano na kutinga raundi ya pili Kombe la Dunia...
Mabingwa wa Afrika Banyana Banyana kutoka Afrika Kusini wametoka nyuma na kuwapiga Italia almaarufu Le Azzuri, magoli 3-2 na kufuzu kwa raundi ya 16...
Azimio: Tuko tayari kuzungumza na Kenya Kwanza
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja Raila Odinga amesema wako tayari kuzungumza na serikali kuhusu maswala yanayoikumba nchi.
Akizungmza Jumanne baada ya...
Mabingwa watetezi Marekani wafuzu raundi ya 16 ya Kombe la Dunia...
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Marekani wamejikatia tiketi ya raundi ya 16 bora ya mashindano ya Kombe la Dunia kwa wanawake, licha ya...