Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1661 POSTS 0 COMMENTS

Wanariadha 9 walioshinda nishani katika mashindano ya Riadha Duniani mjini Budapest...

0
Wanariadha 9 walioinyakulia Kenya nishani 10 katika makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yaliyokamilika Jumapili iliyopita mjini Budapest, Hungary watatuzwa Ijumaa. Hafla ya...

Maombi ya pasipoti kuchukua wiki moja

0
Maombi ya pasipoti yatakuwa yakichukuwa muda wa siku saba pekee kabla ya kupata stakabadhi hiyo muhimu ya usafiri. Kulingana na Katibu wa Idara ya Uhamiaji...

Mfanyabiashara Rai aondoa kesi zote alizowasilisha mahakamani

0
Mfanyabiashara bilionea Jaswant Rai amewasilisha arifa ya kuondoa kesi zote alizowasilisha kwenye mahakama kuu na ile ya rufaa baada ya Rais William Ruto kutaka...

COWU yamtaka Rais Ruto kushinikiza kulipwa kwa madeni ya shirika la...

0
Muungano wa wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano nchini, COWU umemtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kushinikiza kulipwa kwa madeni ambayo shirika la Posta...

Bei ya mahindi kutangazwa wiki ijayo

0
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi ameahidi kutangaza bei mpya ya serikali  kununua mahindi kutoka kwa wakulima wiki ijayo. Maeneo mengi yanoyokuza mahindi nchini yanatazamiwa kuanza...

Watu 63 waangamia kutokana na mkasa wa moto mjini Johannesburg

0
Watu 63 wamefariki dunia na wengine 40 wanapokea matibabu kutokana na majeraha ya moto uliozuka katika jengo moja mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini Alhamisi...

Chebet na Obiri kushiriki New York City Marathon

0
Bingwa mtetezi wa New York City Marathon Evans Chebet atakabiliana na Geoffrey Kamworor katika makala ya mwaka huu yatakayoandaliwa Novemba 5, mwaka huu. Chebet alitwa...

Makala ya kwanza ya kipute cha ligi mpya ya Afrika, AFL...

0
Ligi mpya ya Afrika baina ya vilabu maarufu kama African Football League, AFL itang'oa nanga Oktoba 20 jijini Dare Salaam, Tanzania kulingana na shirikisho...

Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest nchini Hungary watarejea nyumbani Jumatatu usiku. Kenya iliyowakilishwa na wanaraidha 57 ilimaliza katika nafasi...

Takwimu za makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani

0
Makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yalikamilika jana Jumapili usiku mjini Budapest, Hungary yakiwashirikisha wanariadha 2,100 kutoka mataifa 195 walioshindana katika kipindi...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS