Dismas Otuke
Ruto aanza ziara ya mlima Kenya Jumamosi
Rais William Ruto ameanza ziara ya siku tano eneo la mlima Kenya mapema Jumamosi akitarajiwa kuzuru kaunti za Kiambu, Murang’a, Kirinyaga, na Nyeri .
Ruto...
Vipusa wa Uhispania wafuzu robo fainali kombe la dunia kwa mara...
Uhispania imejikatia tiketi ya kwota fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza,baada ya kuichachafya Uswizi mabao 5 kwa moja katika...
Wastaafu kupokea malipo ya uzeeni baada ya miezi mitatu
Wafanyikazi wote wa umma watakaostaafu watapata ufueni ikiwa mswaada wa kamati ya fedha bungeni utapitishwa kuea sheria.
Mswaada huo unapendekeza kuishuritisha hazina kuu kuwalipa...
Ethiopia yatangaza hali ya hatari
Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari kufuatia kuenea kwa vita kati ya jeshi la kitaifa na wapiganaji kutoka kaskazini mwa eneo la Amhara.
Katika...
Tusker FC wanasa wanandinga watano wapya tayari kwa msimu wa ligi...
Tusker FC wamethibistisha kuwasajili wachezaji watano katika harakati za kujiandaa kwa msimu wa ligi kuu ya soka nchini FKF mwaka 2023 na 2024.
Wanandinga walionaswa...
Cheptegei kuongoza Uganda kwa mashindano ya riadha duniani mjini Budapest
Bingwa mtetezi wa dunia katika mita 10,000 Joshua Cheptegei, bingwa wa Jumuiya ya Madola katika mita 5,000 na 10,000 Jacob Kiplimo na bingwa wa...
Misori akosoa jopokazi la marekebisho ya mtaala wa CBC
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu wa shule za Upili na Vyuo Nchini (KUPPET) Maurice Akelo Misori amelishutumu jopokazi lililobuniwa na Rais William Ruto ...
LSK yapinga utekelezaji wa Sheria ya Fedha Mwaka 2023 mahakamani
Chama cha Wanasheria nchini (LSK) kimewasilisha kesi ya dharura mahakamani kupinga utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023 ikisema kuwa ni kinyume cha...
Umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma kupunguzwa hadi miaka 55
Wabunge wanapendekeza umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma upunguzwe kutoka miaka 60 hadi 55.
Kulingana na wabunge hao, hali hii itawapa vijana fursa ya...
Ichung’wah akiri kupokea mwaliko wa mazunguzo kutoka upinzani
Kinara wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wah amejibu waraka wa mwaliko kwa meza ya mazungumzo kutoka kwa upinzani.
Kiongozi wa muungano wa Azimio...