Dismas Otuke
Bongo aruhisiwa kusafiri Ulaya
Rais wa Gabon aliyetimuliwa mamlakani Ali Bongo Ondimba, ameachiliwa kutoka kifungu cha nyumbani na kuruhusiwa kusafiri kwenda Ulaya ili kupokea matibabu.
Bongo aliyewekwa chini ya...
Wabunge watano ‘waasi’ watimuliwa na ODM
Kamati kuu ya chama cha ODM imeafikia uamuzi wa kuwatimua wabunge watano 'waasi; waliokiuka itikadi za chama.
ODM imesema imewatimua wabunge hao kwa utovu wa...
Kampuni ya Bolt kuzindua magari ya umeme nchini Kenya
Kampuni ya magari ya usafiri ya Bolt imetangaza kuwekeza kima cha shilingi milioni 100 kununua magari na pikipiki za kutumia umeme nchini Kenya.
Kampuni hiyo...
Raila ataka vyama vya kisiasa kuteua makamishna wa IEBC
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anapendekeza vyama vya kisiasa kupitia kwa kundi la wawakilishi wa vyama bungeni, IPPG vihusishwe katika mchakato wa kuwateua makamishna...
Harambee Stars yatua Qatar kwa mechi ya kirafiki
Timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Kenya maarufu kama Harambee Stars imeatua mjini Doha nchini Qatar mapema Jumatano tayari kwa mchuano wa...
Kenya miongoni mwa mataifa10 yatakayopokea mgao wa pesa za kukabiliana na...
Kenya ni miongoni mwa mataifa 10 yatakayopokea nusu ya kitita cha shilingi bilioni 100 zilizotengewa bara Afrika kwa vita dhidi ya mabadiliko ya tabia...
Kikosi cha Kenya kwa Mashindano ya Dunia ya Mbio za...
Mshindi wa nishani ya fedha ya dunia mwaka 2022 Stanley Waithaka amejumuishwa katika kikosi cha Kenya kitakachoshiriki mashindano ya dunia ya mbio za barabarani...
Marais 16 wahudhuria Kongamano la Tabia Nchi Nairobi
Takriban Marais 16 wanahudhuria kongamano la kwanza la Afrika kuhusu Tabia Nchi ambalo limeingia siku ya pili leo Jumanne katika ukumbi wa KICC jijini...
Kenya yaangushwa na Cameroon mashindano ya Voliboli Afrika
Timu ya taifa ya voliboli ya wanaume ya Kenya maarufu kama Wafalme Stars ilianza vibaya mashindano ya kuwania kombe la bara Afrika walipotitigwa seti...
Rais Ruto afungua Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi
Rais William Ruto mapema leo Jumatatu alifungua Kongamano la kwanza la Afrika kuhusu Tabia Nchi katika ukumbi wa jumba la mikutano ya kimataifa la...