Dismas Otuke
Kenya imejitolea kuangamiza kifua kikuu
Kenya imekariri kujitolea kumaliza ugonjwa wa kifua kikuu nchini.
Haya yamesemwa Alhamisi na Katibu katika Wizara ya Afya ya Umma Mary Muthioni, alipokuwa akihutubua kikao...
Marekani yataka Rais wa Niger aliyeshikwa mateka kuachiliwa
Marekani imetaka kuachiliwa mara moja kwa Rais wa Niger Mohamed Bazoum aliyeshikwa mateka.
Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amekiri kuzungumza na Rais Bazoum...
Manchester United yamnyatia Amrabat
Manchester United wamejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kiungo mkabaji wa Fiorentina Sofyan Amrabat wa Morocco.
Amrabat aliye na umri wa miaka 26 anapania kukata tamaa na...
Kiptum na Chepng’etich kushiriki Chicago Marathon
Mabingwa watetezi wa mashindano ya London na Chicago Marathon Kelvin Kiptum na Ruth Chepngetich wamethibitisha kuwa watashiriki makala ya mwaka huu ya mbio za...
Niko tayari kujadiliana na Rais Ruto mbele ya mpatanishi, asema Raila
Kiongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga amesimama kidete akisema kuwa yuko tayari kuketi kwenye meza ya mazungumzo na Rais William Rito...
Wanafunzi zaidi ya 200 wanufaika kwa msaada wa masomo
Wanafunzi 205 wamenufaika na msaada wa masomo ya vyuo wa kima cha shilingi milioni 12 kutoka kwa wakfu wa Prudence, unaomilikiwa na kampuni ya...
Umoja wa Afrika washutumu jaribio la mapinduzi Niger
Umoja wa Afrika, AU umeshutumu jaribio la mapinduzi ya serikali nchini Niger.
Baadhi ya walinzi wa Rais Mohamed Bazoum walimgeuka, kumfungia na kumzuia kuondoka katika...
Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga aachiliwa huru
Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga na seneta wa kaunti hiyo Stewart Madzayo ,wameachiliww huru kwa dhamana ya shilingi 50,000 kila mmoja.
Madzayo na Chonga...
Mnyama Simba yamsajili kipa kutoka Brazil
Miamba wa nasoka Tanzania bara klabu ya Simba Sports Club imetangaza kukamilisha usajili wa kipa raia wa Brazil Luis Jefferson kwa mkataba...
Uhispania kwenye njia panda baada ya uchaguzi mkuu
Uhispania imejipata kwenye njia panda ya mrengo wa kulia na ule kushoto kushindwa kutwaa ushindi katika mchakato wa kuunda serikali mpya kufuatia uchaguzi wa...