Dismas Otuke
Jamii ya Wapemba yapewa uraia Kenya
Wapemba zaidi ya laki moja wanaoishi nchini wamepewa uraia kuwa mojawapo ya makabila ya Kenya.
Wapemba wamekuwa wakiishi nchini kwa miongo kadhaa ila hawajapewa kibali...
AK yabadilisha kikosi cha mbio za Relay kufuzu kwa mashindano ya...
Chama cha riadha nchini, AK kimelazimika kufanya mabadiliko kwenye timu ya mita 400 ya wanariadha wanne kupokezana kijiti ya Kenya iliyokuwa isafiri kwenda Ujerumani...
Azimio kutoa mwelekeo Ijumaa
Muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja unatarajiwa kutoa mwelekeo kwa wafuasi wake leo Ijumaa.
Viongozi wa Azimio wataandaa misa ya wafu mtaani Karen kuwakumbuka...
Hatima ya sheria ya fedha mwaka 2023 kuamuliwa na mahakama
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kutoa uamuzi leo Ijumaa kuhusu kesi iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u kupitia kwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi...
Gor Mahia yapiga marufuku usajili wachezaji wa kigeni
Mabingwa wa ligi kuu nchini Gor Mahia wametangaza kupiga marufuku usajili wachezaji wa kigeni, baada ya kufungiwa nje ya kipute cha ligi ya mabingwa...
Huduma za mfumo wa e-Citizen zarejea
Serikali imetangaza kurejea kwa huduma zote za mtandaoni kupitia mfumo wa e-Citizen kufuatia jaribio la udukuzi lililositisha baadhi ya huduma.
Huduma zaidi ya 5,000 za...
Nigeria wawaduwaza wenyeji Australia Kombe la Dunia
Nigeria imeweka hai matumaini ya kutinga raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kutoka nyuma na kuwazima wenyeji Australia kwa kuwazabua...
Kenya imejitolea kuangamiza kifua kikuu
Kenya imekariri kujitolea kumaliza ugonjwa wa kifua kikuu nchini.
Haya yamesemwa Alhamisi na Katibu katika Wizara ya Afya ya Umma Mary Muthioni, alipokuwa akihutubua kikao...
Marekani yataka Rais wa Niger aliyeshikwa mateka kuachiliwa
Marekani imetaka kuachiliwa mara moja kwa Rais wa Niger Mohamed Bazoum aliyeshikwa mateka.
Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amekiri kuzungumza na Rais Bazoum...
Manchester United yamnyatia Amrabat
Manchester United wamejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kiungo mkabaji wa Fiorentina Sofyan Amrabat wa Morocco.
Amrabat aliye na umri wa miaka 26 anapania kukata tamaa na...