Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1534 POSTS 0 COMMENTS

Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest nchini Hungary watarejea nyumbani Jumatatu usiku. Kenya iliyowakilishwa na wanaraidha 57 ilimaliza katika nafasi...

Takwimu za makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani

0
Makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yalikamilika jana Jumapili usiku mjini Budapest, Hungary yakiwashirikisha wanariadha 2,100 kutoka mataifa 195 walioshindana katika kipindi...

Kenya yaboresha matokeo ya mashindano ya Riadha Duniani

0
Kenya ilimaliza katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa medali ya makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yaliyokamilika Jumapili usiku mjini Budapest,...

Moraa atwaa dhahabu ya mita 800 mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Mary Moraa ndiye bingwa mpya wa dunia katika mbio za mita 800 na Mkenya wa tatu kushinda dhahabu ya dunia kwa wanawake. Moraa aliishindia Kenya...

Uganda yatwaa mataji ya soka katika michezo ya shule za upili...

0
St Mary’s Boarding School Kitende na Kawempe Muslim kutoka Uganda ndio mabingwa wa soka kwa wavulana na wasichana mtawalia, katika makala ya mwaka huu...

Wakenya wawinda dhahabu 3 Budapest katika siku ya mwisho ya mashindano...

0
Wanariadha wa Kenya watajitosa uwanjani katika fainali tatu katika siku ya mwisho ya makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani  Jumapili usiku mjini...

Mnangagwa ashinda muhula wa pili wa Urasi Zimbabwe

0
Rais wa zimbabwe Emmerson Mnangagwa, ameshinda muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu ulioandaliwa Agosti 23 akigombea kwa tiketi ya chama cha ZANU-PF huku upinzani...

Kipyegon atwaa dhahabu ya pili ya Kenya

0
Bingwa wa dunia katika mita 1500 Faith Kipyegon ndiye bingwa mpya dunia katika mita 5000,baada ya kuibuka mshindi Jumamosi usiku. Kipyegon aliye na umri...

Gor wabanwa huku Tusker wakishinda mechi za kufungua ligi kuu

0
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya,Gor Mahia wametoka nyuma na kulazimisha sare ya bao 1 dhidi ya Sofapaka, katika mchuano wa kufungua msimu...

Imani ya Wakenya kwa Kipyegon na Wanyonyi kutwaa dhahabu Mashindano ya...

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1500 faith Kipyegon na Emanuel Wanyonyi wanaangaziwa na Wakenya zaidi ya milioni 40 kunyakua dhahabu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS