Dismas Otuke
Mazungumzo ya maridhiano yarejelewa Bomas
Mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani yamerejelewa siku ya Jumatatu katika ukumbi wa Bomas .
Kikao hicho kinatarajia kushuhudia pande zote mbili zikiwasilisha...
Gambia yatinga kipute cha AFCON kwa mara ya pili
Timu ya taifa ya Gambia ilijikatia tiketi kwa makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika mapema mwaka ujao nchini Ivory...
Raila ahudhuria ndoa ya mwanawe Orengo
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amehudhuria sherehe ya ndoa ya kitamaduni ya mwanawe gavana wa Siaya James Orengo- Michael Orengo na Samantha Luseno...
UDA kuandaa uchaguzi wake Disemba mwaka huu, asema Ruto
Chama cha United Democratic Alliance, UDA kitafanya uchaguzi wake mwezi Disemba mwaka huu kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Haya yametangazwa Jumamosi na Rais...
Ruto amwomboleza mwanahabari Cardovillis
Rais William Ruto ni miongoni mwa viongozi na wakenya waliojiunga kumwomboleza mwanahabari wa michezo Sean Cardovillis aliyefariki mapema Jumamosi.
Ruto amemtaja marehemu kuwa shupavu na...
Walioangamia kwenye tetemeko la ardhi Morocco yapanda hadi zaidi ya 1,000
Zaidi ya watu 1,037 wameripotiwa kuaga dunia na wengine 1,200 kurejuhiwa kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilitokea nchini Morocco Ijumaa usiku eneo la Marrakech.
Kulingana...
Ununuzi wa token za KPLC kusitishwa Jumamosi usiku
Kampuni ya usambazaji umeme nchini KPLC imetangaza kuwa ununuzi wa umeme kwa njia ya token utasitishwa jumamosi usiku kuanzia saa tano na dakika 50...
Gabon kuandaa uchaguzi mkuu baada ya miaka miwili
Waziri Mkuu mpya wa muda nchini Gabon Raymond Ndong Sima ametangaza kuwa uchaguzi mkuu huenda ukaandaliwa baada ya miaka miwili.
Sima aliyeshika hatamu Alhamisi wiki...
Wenyeji Ufaransa wafungua kombe la dunia raga kwa ushindi
Wenyeji Ufaransa walifungua makala ya mwaka huu ya kombe la dunia katika raga ya wachezaji 15 kila upande kwa ushindi wa pointi 27-13 dhidi...
Zaidi ya watu 600 wafariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini...
Zaidi ya watu 600 wameaga dunia kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini Morocco .
Kulingana na maafisa wa usalama tetemeko hilo la ardhi...