Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1420 POSTS 0 COMMENTS

Hatima ya sheria ya fedha mwaka 2023 kuamuliwa na mahakama

0
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kutoa uamuzi leo Ijumaa kuhusu kesi iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u kupitia kwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi...

Gor Mahia yapiga marufuku usajili wachezaji wa kigeni

0
Mabingwa wa ligi kuu nchini Gor Mahia wametangaza kupiga marufuku usajili wachezaji wa kigeni, baada ya kufungiwa nje ya kipute cha ligi ya mabingwa...

Huduma za mfumo wa e-Citizen zarejea

0
Serikali imetangaza kurejea kwa huduma zote za mtandaoni kupitia mfumo wa e-Citizen kufuatia jaribio la udukuzi lililositisha baadhi ya huduma. Huduma zaidi ya 5,000 za...

Nigeria wawaduwaza wenyeji Australia Kombe la Dunia

0
Nigeria imeweka hai matumaini ya kutinga raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kutoka nyuma na kuwazima wenyeji Australia kwa kuwazabua...

Kenya imejitolea kuangamiza kifua kikuu

0
Kenya imekariri kujitolea kumaliza ugonjwa wa kifua kikuu nchini. Haya yamesemwa Alhamisi na Katibu katika Wizara ya Afya ya Umma Mary Muthioni, alipokuwa akihutubua kikao...

Marekani yataka Rais wa Niger aliyeshikwa mateka kuachiliwa

0
Marekani imetaka kuachiliwa mara moja kwa Rais wa Niger Mohamed Bazoum aliyeshikwa mateka. Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amekiri kuzungumza na Rais Bazoum...

Manchester United yamnyatia Amrabat

0
Manchester United wamejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kiungo mkabaji wa Fiorentina Sofyan Amrabat wa Morocco. Amrabat aliye na umri wa miaka 26 anapania kukata tamaa na...

Kiptum na Chepng’etich kushiriki Chicago Marathon

0
Mabingwa watetezi wa mashindano ya London na Chicago Marathon Kelvin Kiptum na Ruth Chepngetich wamethibitisha kuwa watashiriki makala ya mwaka huu ya mbio za...

Niko tayari kujadiliana na Rais Ruto mbele ya mpatanishi, asema Raila

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga amesimama kidete akisema kuwa yuko tayari kuketi kwenye meza ya mazungumzo na Rais William Rito...

Wanafunzi zaidi ya 200 wanufaika kwa msaada wa masomo

0
Wanafunzi 205 wamenufaika na msaada wa masomo ya vyuo wa kima cha shilingi milioni 12 kutoka kwa wakfu wa Prudence, unaomilikiwa na kampuni ya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS