Dismas Otuke
Raia wa DRC kuzuru Kenya bila viza kuanzia Septemba 1
Ni afueni kwa raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC wanaopania kuzuru nchini baada ya serikali kuondoa masharti ya viza ili kuzuru nchini...
Majambazi wavamia kambi ya Kakuma na kumuua mtu mmoja
Idadi isiyojulikana ya majambazi waliojihami kwa bunduki wamevamia kambi ya wakimbizi ya Kakuma siku ya Ijumaa na kumuua raia mmoja wa Sudan Kusini .
Shambulizi...
Wanariadha 9 walioshinda nishani katika mashindano ya Riadha Duniani mjini Budapest...
Wanariadha 9 walioinyakulia Kenya nishani 10 katika makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yaliyokamilika Jumapili iliyopita mjini Budapest, Hungary watatuzwa Ijumaa.
Hafla ya...
Maombi ya pasipoti kuchukua wiki moja
Maombi ya pasipoti yatakuwa yakichukuwa muda wa siku saba pekee kabla ya kupata stakabadhi hiyo muhimu ya usafiri.
Kulingana na Katibu wa Idara ya Uhamiaji...
Mfanyabiashara Rai aondoa kesi zote alizowasilisha mahakamani
Mfanyabiashara bilionea Jaswant Rai amewasilisha arifa ya kuondoa kesi zote alizowasilisha kwenye mahakama kuu na ile ya rufaa baada ya Rais William Ruto kutaka...
COWU yamtaka Rais Ruto kushinikiza kulipwa kwa madeni ya shirika la...
Muungano wa wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano nchini, COWU umemtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kushinikiza kulipwa kwa madeni ambayo shirika la Posta...
Bei ya mahindi kutangazwa wiki ijayo
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi ameahidi kutangaza bei mpya ya serikali kununua mahindi kutoka kwa wakulima wiki ijayo.
Maeneo mengi yanoyokuza mahindi nchini yanatazamiwa kuanza...
Watu 63 waangamia kutokana na mkasa wa moto mjini Johannesburg
Watu 63 wamefariki dunia na wengine 40 wanapokea matibabu kutokana na majeraha ya moto uliozuka katika jengo moja mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini Alhamisi...
Chebet na Obiri kushiriki New York City Marathon
Bingwa mtetezi wa New York City Marathon Evans Chebet atakabiliana na Geoffrey Kamworor katika makala ya mwaka huu yatakayoandaliwa Novemba 5, mwaka huu.
Chebet alitwa...
Makala ya kwanza ya kipute cha ligi mpya ya Afrika, AFL...
Ligi mpya ya Afrika baina ya vilabu maarufu kama African Football League, AFL itang'oa nanga Oktoba 20 jijini Dare Salaam, Tanzania kulingana na shirikisho...