Dismas Otuke
Gabon kuandaa uchaguzi mkuu baada ya miaka miwili
Waziri Mkuu mpya wa muda nchini Gabon Raymond Ndong Sima ametangaza kuwa uchaguzi mkuu huenda ukaandaliwa baada ya miaka miwili.
Sima aliyeshika hatamu Alhamisi wiki...
Wenyeji Ufaransa wafungua kombe la dunia raga kwa ushindi
Wenyeji Ufaransa walifungua makala ya mwaka huu ya kombe la dunia katika raga ya wachezaji 15 kila upande kwa ushindi wa pointi 27-13 dhidi...
Zaidi ya watu 600 wafariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini...
Zaidi ya watu 600 wameaga dunia kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea nchini Morocco .
Kulingana na maafisa wa usalama tetemeko hilo la ardhi...
Mashindano ya Safaricom Chapa Dimba kuelekea Siaya na Kisii
Mashindano ta Safaricom Chapa Dimba yataelekea katika kaunti za Siaya na Kisii mwishoni mwa juma hili .
Siku ya Jumamosi kaunti ya Siaya itaandaa mashindano...
Raila kuzuru Nyanza baina ya Ijumaa na Jumapili
Kiongozi wa mungano wa Azimio ,Raila Odinga anazuru eneo la Nyanza kati ya Ijumaa na Jumapili ,siku moja tu baada ya kuwatimu wabunge waasi...
Tanzania yafuzu kwa AFCON mwaka 2024 kwa mara ya tatu
Tanzania wamefuzu kwa fainali za kombe la bara Afrika mwaka ujao nchini Ivory Coast, baada ya kutoka sare tasa dhidi ya Algeria ugenini...
Mwandalizi wa fainali za AFCON 2025 na 2027 kubainika Septemba...
Kamati kuu ya shirirkisho la kandanda barani Afrika CAF, linatarajiwa kutangaza mataifa yatakayoandaa fainali za kombe la Afrika mwaka 2025 na 2027.
Kamati hiyo ya...
Kenya kumenyana na Qatar mechi ya kirafiki
Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars itamenyana na Qatar Alhamisi jioni katika mchuano wa kimataifa wa kirafiki.
Pambano hilo litangóa nanga saa kumi...
Wakenya kuzuru DR Congo bila viza
Wakenya hawatahitaji VISA tena kusafiri kuingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya serikali ya DR Congo kuondoa sharti ya viza kwa raia...
Bongo aruhisiwa kusafiri Ulaya
Rais wa Gabon aliyetimuliwa mamlakani Ali Bongo Ondimba, ameachiliwa kutoka kifungu cha nyumbani na kuruhusiwa kusafiri kwenda Ulaya ili kupokea matibabu.
Bongo aliyewekwa chini ya...