Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1439 POSTS 0 COMMENTS

Bei ya mbolea yashuka hadi shilingi 2,500

0
Serikali imetangaza kupunguza bei ya mbolea kutoka shilingi 3,500 hadi 2,500 kwa kila gunia la kilo 50. Rais William Ruto ametangaza bei hiyo leo Jumatano...

Banyana yamtafuna Mwitaliano na kutinga raundi ya pili Kombe la Dunia...

0
Mabingwa wa Afrika Banyana Banyana kutoka Afrika Kusini wametoka nyuma na kuwapiga Italia almaarufu Le Azzuri, magoli 3-2 na kufuzu kwa raundi ya 16...

Azimio: Tuko tayari kuzungumza na Kenya Kwanza

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja Raila Odinga amesema wako tayari kuzungumza na serikali kuhusu maswala yanayoikumba nchi. Akizungmza Jumanne baada ya...

Mabingwa watetezi Marekani wafuzu raundi ya 16 ya Kombe la Dunia...

0
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Marekani wamejikatia tiketi ya raundi ya 16 bora ya mashindano ya Kombe la Dunia kwa wanawake, licha ya...

Wadau wa soka waitaka FKF kuitisha uchaguzi

0
Wadau wa soka nchini wameitaka afisi ya sasa ya FKF kutoa arifa ya uchaguzi kabla ya muda wa sasa kumalizika mwishoni mwa mwaka huu. Wakizungumza...

Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa...

0
Wenyeji Australia wamefuzu kwa raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuwagaragaza mabingwa wa Olimpiki Canada mabao 4 kwa bila katika...

Wanafunzi 140,000 kujiunga na vyuo vikuu

0
Wanafunzi 140,107 waliofanya mtihani wa kidato cha nne, KCSE mwaka uliopita wameteuliwa kujiunga na vyuo vikuu nchini. Akitoa ripoti hiyo leo Jumatatu, Waziri wa Elimu...

Waziri Owalo: Serikali yaafikia lengo la faiba nchini

0
Serikali imefikia lengo lake la kuweka mtandao wa faiba nchini ndani ya mwaka wa kwanza wa utawala wa serikali ya Kenya Kwanza chini ya...

Okwaro ataka mashauriano kati ya serikali na upinzani

0
Katibu Mkuu wa muungano wa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini Benson Okwaro ametaka kuandaliwa kwa majadiliano ya kina kati ya serikali na upinzani...

ECOWAS yaiwekea Niger vikwazo

0
Umoja wa Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imeiwekea vikwazo Niger kufuatia jaribio la mapinduzi ya serikali. Kulingana na taarifa ya pamoja ya ECOWAS kufuatia kikao...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS