Dismas Otuke
Rais Ruto afungua Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi
Rais William Ruto mapema leo Jumatatu alifungua Kongamano la kwanza la Afrika kuhusu Tabia Nchi katika ukumbi wa jumba la mikutano ya kimataifa la...
Chebet na Wanyonyi watwaa ubingwa Xiamen Diamond League
Mshindi wa nishani ya Fedha ya Dunia katika mita 800 Emmanuel Wanyonyi na mshindi wa medali ya shaba katika mita 5,000 Beatrice Chebet wameibuka...
Kiongozi wa jeshi nchini Gabon apinga uwezekano wa kuandaa uchaguzi...
Kiongozi wa jeshi nchini Gabon amesema hana haraka ya kuitisha uchaguzi mpya kufuatia kungátuliwa mamlakani kwa Rais Ali Bongo.
Bongo amewekwa kwenye kifungo cha nyumbani...
Hospitali ya chuo kikuu cha Kenyatta yaidhinishwa kutoa mafunzo ya...
Hospitali ya rufaa na utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH),imedhinishwa kutoa mafunzo kwa wanafunzi wanaosomea kozi ya dawa katika chuo kikuu cha Kenyatta.
Chuo...
Takriban watoto milioni mbili walipokea chanjo ya Polio
Jumla ya watoto 1,957,476 walio chini ya umri wa miaka mitano,walipokea chanj dhidi ya ugonjwa wa kupooza katika awamu ya kwanza iliyokamilika maajuzi ikiwa...
Polisi wanasa pombe haramu Kiambu
Polisi walinasa pombe haramu katika kaunti ya Kiambu siku ya Ijumaa na kuwatia mbaroni washukiwa kadhaa .
Kulingana na ripoti ya polisi washukiwa walikuwa wamepakia...
Waakilishi wadi 11 wa UDA kutoka Uasin Gishu watupwa nje
Waakilishi wodi 11 wateule wa chama cha United Democratic Alliance( UDA) wamepoteza viti vyao katika bunge la kaunti ya Uasin Gishu baada ya mahakama...
Hussein Mohammed apongeza uzinduzi wa Talanta Plaza
Afisa Mkuu mtendaji wa shirika la Extreme Sports Hussein Mohammed, amempongeza Rais William Ruto na Waziri wa Michezo Ababu Namwamba kwa uzinduzi wa jengo...
Wanamichezo watuzwa shilingi milioni 32 na Rais Ruto
Rais William Ruto amewatuza wanamichezo waliofanya vyema kimataifa kitita cha shilingi milioni 32 siku ya Ijumaa wakati wa hafla ya kuzindua jengo la Talanta...
Raia wa DRC kuzuru Kenya bila viza kuanzia Septemba 1
Ni afueni kwa raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC wanaopania kuzuru nchini baada ya serikali kuondoa masharti ya viza ili kuzuru nchini...