Dismas Otuke
Azimio: Tuko tayari kuzungumza na Kenya Kwanza
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja Raila Odinga amesema wako tayari kuzungumza na serikali kuhusu maswala yanayoikumba nchi.
Akizungmza Jumanne baada ya...
Mabingwa watetezi Marekani wafuzu raundi ya 16 ya Kombe la Dunia...
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Marekani wamejikatia tiketi ya raundi ya 16 bora ya mashindano ya Kombe la Dunia kwa wanawake, licha ya...
Wadau wa soka waitaka FKF kuitisha uchaguzi
Wadau wa soka nchini wameitaka afisi ya sasa ya FKF kutoa arifa ya uchaguzi kabla ya muda wa sasa kumalizika mwishoni mwa mwaka huu.
Wakizungumza...
Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa...
Wenyeji Australia wamefuzu kwa raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuwagaragaza mabingwa wa Olimpiki Canada mabao 4 kwa bila katika...
Wanafunzi 140,000 kujiunga na vyuo vikuu
Wanafunzi 140,107 waliofanya mtihani wa kidato cha nne, KCSE mwaka uliopita wameteuliwa kujiunga na vyuo vikuu nchini.
Akitoa ripoti hiyo leo Jumatatu, Waziri wa Elimu...
Waziri Owalo: Serikali yaafikia lengo la faiba nchini
Serikali imefikia lengo lake la kuweka mtandao wa faiba nchini ndani ya mwaka wa kwanza wa utawala wa serikali ya Kenya Kwanza chini ya...
Okwaro ataka mashauriano kati ya serikali na upinzani
Katibu Mkuu wa muungano wa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini Benson Okwaro ametaka kuandaliwa kwa majadiliano ya kina kati ya serikali na upinzani...
ECOWAS yaiwekea Niger vikwazo
Umoja wa Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imeiwekea vikwazo Niger kufuatia jaribio la mapinduzi ya serikali.
Kulingana na taarifa ya pamoja ya ECOWAS kufuatia kikao...
Umoja wa Falme za Kiarabu ulihusika katika mapinduzi ya serikali Niger
Gazeti moja nchini Algeria limekiri kuhusika kwa Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE katika mapinduzi ya serikali nchini Niger.
Gazeti hilo la lugha ya Kifaransa...
Ufaransa yaiduwaza Brazil Kombe la Dunia kwa vidosho
Ufaransa iliwagusha Brazil na kuwazabua mabaoa 2-1 katika mchuano wa kundi F uliopigwa Jumamosi jioni mjini Brisbane nchini Australia.
Eugenie Le Sommer aliwaweka Ufaransa uongozini...