Dismas Otuke
Watu 20 waangamia Ziwani Victoria nchini Uganda
Watu ishirini wameripotiwa kuangamia baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kutumbukia katika Ziwa Victoria nchini Uganda.
Mashua hiyo ndogo inasemekana kuwabeba watu 34 wakati...
Bei ya mbolea yashuka hadi shilingi 2,500
Serikali imetangaza kupunguza bei ya mbolea kutoka shilingi 3,500 hadi 2,500 kwa kila gunia la kilo 50.
Rais William Ruto ametangaza bei hiyo leo Jumatano...
Banyana yamtafuna Mwitaliano na kutinga raundi ya pili Kombe la Dunia...
Mabingwa wa Afrika Banyana Banyana kutoka Afrika Kusini wametoka nyuma na kuwapiga Italia almaarufu Le Azzuri, magoli 3-2 na kufuzu kwa raundi ya 16...
Azimio: Tuko tayari kuzungumza na Kenya Kwanza
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja Raila Odinga amesema wako tayari kuzungumza na serikali kuhusu maswala yanayoikumba nchi.
Akizungmza Jumanne baada ya...
Mabingwa watetezi Marekani wafuzu raundi ya 16 ya Kombe la Dunia...
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Marekani wamejikatia tiketi ya raundi ya 16 bora ya mashindano ya Kombe la Dunia kwa wanawake, licha ya...
Wadau wa soka waitaka FKF kuitisha uchaguzi
Wadau wa soka nchini wameitaka afisi ya sasa ya FKF kutoa arifa ya uchaguzi kabla ya muda wa sasa kumalizika mwishoni mwa mwaka huu.
Wakizungumza...
Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa...
Wenyeji Australia wamefuzu kwa raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuwagaragaza mabingwa wa Olimpiki Canada mabao 4 kwa bila katika...
Wanafunzi 140,000 kujiunga na vyuo vikuu
Wanafunzi 140,107 waliofanya mtihani wa kidato cha nne, KCSE mwaka uliopita wameteuliwa kujiunga na vyuo vikuu nchini.
Akitoa ripoti hiyo leo Jumatatu, Waziri wa Elimu...
Waziri Owalo: Serikali yaafikia lengo la faiba nchini
Serikali imefikia lengo lake la kuweka mtandao wa faiba nchini ndani ya mwaka wa kwanza wa utawala wa serikali ya Kenya Kwanza chini ya...
Okwaro ataka mashauriano kati ya serikali na upinzani
Katibu Mkuu wa muungano wa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini Benson Okwaro ametaka kuandaliwa kwa majadiliano ya kina kati ya serikali na upinzani...