Dismas Otuke
Harambee Stars kukabiliana na Sudan Kusini Jumanne
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars itawaalika Sudan Kusini katika mechi ya kimataifa ya kirafiki Jumanne alasiri katika uwanja wa kimataifa wa...
Watu 2,800 wamefariki kufuatia tetemeko la ardhi nchini Morocco
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Morocco imefikia 2,800 huku matumaini ya kupata majeruhi yakididimia kila kuchao.
Takriban watoto laki moja...
HELB yafutilia mbali vyeti 57 vya walionufaika na mkopo
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, HELB imefutilia mbali vyeti 57 vya wanafunzi walionufaika na mikopo bila kutoa sababu maalum.
Vyeti hivyo hutolewa kwa...
Voeller ataeuliwa kocha wa Ujerumani miezi 9 kabla ya fainali za...
Ujerumani imemteua Rudi Voeller kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa kuchukua nafasi ya Hansi Flick aliyetimuliwa.
Kibarua cha kwanza kwa Voeller ni mchuano wa...
Idadi ya walioangamia kutokana na tetemeko la ardhi Morocco yapanda hadi...
Zaidi ya watu 2500 wamefariki na wengine takriban 2500, kujeruhiwa vibaya kutokana na tetemeko baya la ardhi lililotokea nchini Morocco kilomita 72 Kusini mashariki...
Wanajeshi kadhaa wauawa Lamu na Al-Shabaab
Wanajeshi kadhaa wanahofiwa kufariki jana Jumapili usiku, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga vilipuzi katika msitu wa Boni kaunti ya Lamu, kwenye shambulizi linaloshukiwa...
Mazungumzo ya maridhiano yarejelewa Bomas
Mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani yamerejelewa siku ya Jumatatu katika ukumbi wa Bomas .
Kikao hicho kinatarajia kushuhudia pande zote mbili zikiwasilisha...
Gambia yatinga kipute cha AFCON kwa mara ya pili
Timu ya taifa ya Gambia ilijikatia tiketi kwa makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika mapema mwaka ujao nchini Ivory...
Raila ahudhuria ndoa ya mwanawe Orengo
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amehudhuria sherehe ya ndoa ya kitamaduni ya mwanawe gavana wa Siaya James Orengo- Michael Orengo na Samantha Luseno...
UDA kuandaa uchaguzi wake Disemba mwaka huu, asema Ruto
Chama cha United Democratic Alliance, UDA kitafanya uchaguzi wake mwezi Disemba mwaka huu kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Haya yametangazwa Jumamosi na Rais...