Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1534 POSTS 0 COMMENTS

Kenya kumenyana na Qatar mechi ya kirafiki

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars itamenyana na Qatar Alhamisi jioni katika mchuano wa kimataifa wa kirafiki. Pambano hilo litangóa nanga saa kumi...

Wakenya kuzuru DR Congo bila viza

0
Wakenya hawatahitaji VISA tena kusafiri kuingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya serikali ya DR Congo kuondoa sharti ya viza kwa raia...

Bongo aruhisiwa kusafiri Ulaya

0
Rais wa Gabon aliyetimuliwa mamlakani Ali Bongo Ondimba, ameachiliwa kutoka kifungu cha nyumbani na kuruhusiwa kusafiri kwenda Ulaya ili kupokea matibabu. Bongo aliyewekwa chini ya...

Wabunge watano ‘waasi’ watimuliwa na ODM

0
Kamati kuu ya chama cha ODM imeafikia uamuzi wa kuwatimua wabunge watano 'waasi; waliokiuka itikadi za chama. ODM imesema imewatimua wabunge hao kwa utovu wa...

Kampuni ya Bolt kuzindua magari ya umeme nchini Kenya

0
Kampuni ya magari ya usafiri ya Bolt imetangaza kuwekeza kima cha shilingi milioni 100 kununua magari na pikipiki za kutumia umeme nchini Kenya. Kampuni hiyo...

Raila ataka vyama vya kisiasa kuteua makamishna wa IEBC

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anapendekeza vyama vya kisiasa kupitia kwa kundi la wawakilishi wa vyama bungeni, IPPG vihusishwe katika mchakato wa kuwateua makamishna...

Harambee Stars yatua Qatar kwa mechi ya kirafiki

0
Timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Kenya maarufu kama Harambee Stars imeatua mjini Doha nchini Qatar mapema Jumatano tayari kwa mchuano wa...

Kenya miongoni mwa mataifa10 yatakayopokea mgao wa pesa za kukabiliana na...

0
Kenya ni miongoni mwa mataifa 10 yatakayopokea nusu ya kitita cha shilingi bilioni 100 zilizotengewa bara Afrika kwa vita dhidi ya mabadiliko ya tabia...

Kikosi cha Kenya kwa Mashindano ya Dunia ya Mbio za...

0
Mshindi wa nishani ya fedha ya dunia mwaka 2022 Stanley Waithaka amejumuishwa katika kikosi cha Kenya kitakachoshiriki mashindano ya dunia ya mbio za barabarani...

Marais 16 wahudhuria Kongamano la Tabia Nchi Nairobi

0
Takriban Marais 16 wanahudhuria kongamano la kwanza la Afrika kuhusu Tabia Nchi ambalo limeingia siku ya pili leo Jumanne katika ukumbi wa KICC jijini...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS