Dismas Otuke
Kesi ya kupinga sheria ya fedha mwaka 2023 kusikizwa kwa siku...
Kesi inayopinga utekelezwaji wa sheria ya fedha ya mwaka 2023 itasikizwa leo Alhamisi na mahakama kuu kwa mara ya mwisho.
Majaji walianza kusikiza kesi hiyo...
Harambee Starlets yaimarisha mazoezi kwa mechi ya kufuzu kombe la...
Timu ya taifa ya soka ya Kenya kwa wanawake ,Harambee Starlets,inaendeleza mazoezi ya kambi kujiandaa kwa mechi ya kufuzu kombe la Afrika dhidi ya...
Ushuru wa VAT kuongezwa hadi asilimia 18
Serikali inapanga kuongeza ushuru thamani wa ziada, VAT unaotozwa kwa bidhaa kutoka asilimia 16 hadi 18.
Lengo la kupandisha ushuru huo ni kuianisha na asilimia...
Cameroon na Namibia wafunga orodha ya timu zilizofuzu kipute cha AFCON...
Mabingwa mara tano wa Afrika,Cameroon na Namibia walijikatia tiketi kwa makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatkayoandaliwa kati...
Idadi ya walioangamia kwa mafuriko Libya yagonga 5,200
Idadi ya watu walioangamia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoandamana na kimbunga mjini Derna nchini Libya imegonga 5,200 huku wengine 5,000 wakiwa...
Kesi dhidi ya sheria ya fedha mwaka 2023 yaanza kusikizwa mahakamani
Kesi inayopinga utekelezwaji wa sheria ya fedha ya mwaka 2023 imeanza kusikizwa mapema leo Jumatano katika mahakama kuu ya Kenya.
Keshi hiyo inasikilizwa na majaji...
Harambee Stars wanyofolewa na Sudan Kusini
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imenyofolewa baada ya kulazwa bao moja kwa nunge na Sudan Kusini almaarufu Bright Stars, katika pambano la...
Harambee Stars kukabiliana na Sudan Kusini Jumanne
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars itawaalika Sudan Kusini katika mechi ya kimataifa ya kirafiki Jumanne alasiri katika uwanja wa kimataifa wa...
Watu 2,800 wamefariki kufuatia tetemeko la ardhi nchini Morocco
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Morocco imefikia 2,800 huku matumaini ya kupata majeruhi yakididimia kila kuchao.
Takriban watoto laki moja...
HELB yafutilia mbali vyeti 57 vya walionufaika na mkopo
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, HELB imefutilia mbali vyeti 57 vya wanafunzi walionufaika na mikopo bila kutoa sababu maalum.
Vyeti hivyo hutolewa kwa...