Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1433 POSTS 0 COMMENTS

Miaka 25 tangu shambulizi la bomu katika ubalozi wa Marekani jijini...

0
Ni miaka 25 tangu kutekelezwa kwa mashambulizi ya bomu katika balozi za Marekani katika majiji ya Nairobi, Kenya na Dar es Salaam, Tanzania. Jijini Nairobi,...

Vipusa wa Uswidi wawabandua Wamarekani na kufuzu robo fainali ya Kombe...

0
Ndoto ya mabingwa watetezi Marekani kushinda Kombe la Dunia la nne kwa mpigo ilizimwa jana Jumapili baada ya kushindwa penalti 4 kwa 5 na...

Saudi Arabia yawataka raia wake kuhama Lebanon

0
Ubalozi wa Saudi Arabia nchini Lebanon umewataka raia wake kuhama kutokana na mapigano yanayoendelea baina ya makundi hasimu ya Wapalestina walio nchini Lebanon.</strong Lebanon imeonya...

Asamoah Gyan alenga kufungua akademia ya kukuza vipaji nchini Ghana

0
Nahodha wa zamani wa  timu ya taifa ya Ghana Asamoah Gyan amesema anaangazia kufungua akademia ya kutoa mafunzo ya soka nchini mwao kama njia...

Manchester United wamsajili mshambulizi Rasmus Hojlund

0
Manchester United wamekamilisha usajili wa mshambulizi wa Denamark Rasmus Hojlund kutoka Atalanta kwa pauni milioni 72. Kinda huyo aliye na umri wa miaka 20 na...

Japani watinga robo fainai ya Kombe la Dunia kwa wanawake baada...

0
Japani walijikatia tiketi kwa kwota fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuilabua Norway magoli matatu kwa moja katika mechi ya pili ya raundi...

Tanzania watwaa kombe la CECAFA kwa wasichana chini ya miaka 18

0
Wenyeji Tanzania wametwaa kombe CECAFA kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 18 baada ya kuwalaza Uganda bao moja bila kwenye mechi ya fainali iliyosakatwa...

Ruto aanza ziara ya mlima Kenya Jumamosi

0
Rais William Ruto ameanza ziara ya siku tano eneo la mlima Kenya mapema Jumamosi akitarajiwa kuzuru kaunti za Kiambu, Murang’a, Kirinyaga, na Nyeri . Ruto...

Vipusa wa Uhispania wafuzu robo fainali kombe la dunia kwa mara...

0
Uhispania imejikatia tiketi ya kwota fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza,baada ya kuichachafya Uswizi mabao 5 kwa moja katika...

Wastaafu kupokea malipo ya uzeeni baada ya miezi mitatu

0
Wafanyikazi wote wa umma watakaostaafu watapata ufueni ikiwa mswaada wa kamati ya fedha bungeni utapitishwa kuea sheria. Mswaada huo unapendekeza kuishuritisha hazina kuu kuwalipa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS