Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1419 POSTS 0 COMMENTS

Manchester United wamsajili mshambulizi Rasmus Hojlund

0
Manchester United wamekamilisha usajili wa mshambulizi wa Denamark Rasmus Hojlund kutoka Atalanta kwa pauni milioni 72. Kinda huyo aliye na umri wa miaka 20 na...

Japani watinga robo fainai ya Kombe la Dunia kwa wanawake baada...

0
Japani walijikatia tiketi kwa kwota fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuilabua Norway magoli matatu kwa moja katika mechi ya pili ya raundi...

Tanzania watwaa kombe la CECAFA kwa wasichana chini ya miaka 18

0
Wenyeji Tanzania wametwaa kombe CECAFA kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 18 baada ya kuwalaza Uganda bao moja bila kwenye mechi ya fainali iliyosakatwa...

Ruto aanza ziara ya mlima Kenya Jumamosi

0
Rais William Ruto ameanza ziara ya siku tano eneo la mlima Kenya mapema Jumamosi akitarajiwa kuzuru kaunti za Kiambu, Murang’a, Kirinyaga, na Nyeri . Ruto...

Vipusa wa Uhispania wafuzu robo fainali kombe la dunia kwa mara...

0
Uhispania imejikatia tiketi ya kwota fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza,baada ya kuichachafya Uswizi mabao 5 kwa moja katika...

Wastaafu kupokea malipo ya uzeeni baada ya miezi mitatu

0
Wafanyikazi wote wa umma watakaostaafu watapata ufueni ikiwa mswaada wa kamati ya fedha bungeni utapitishwa kuea sheria. Mswaada huo unapendekeza kuishuritisha hazina kuu kuwalipa...

Ethiopia yatangaza hali ya hatari

0
Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari  kufuatia kuenea kwa vita kati ya  jeshi la kitaifa na wapiganaji kutoka kaskazini mwa eneo la Amhara. Katika...

Tusker FC wanasa wanandinga watano wapya tayari kwa msimu wa ligi...

0
Tusker FC wamethibistisha kuwasajili wachezaji watano katika harakati za kujiandaa kwa msimu wa ligi kuu ya soka nchini FKF mwaka 2023 na 2024. Wanandinga walionaswa...

Cheptegei kuongoza Uganda kwa mashindano ya riadha duniani mjini Budapest

0
Bingwa mtetezi wa dunia katika mita 10,000 Joshua Cheptegei, bingwa wa Jumuiya ya Madola katika mita 5,000 na 10,000 Jacob Kiplimo na bingwa wa...

Misori akosoa jopokazi la marekebisho ya mtaala wa CBC

0
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu wa shule za Upili na Vyuo Nchini (KUPPET)  Maurice Akelo Misori amelishutumu jopokazi lililobuniwa na Rais William Ruto ...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS