Dismas Otuke
Maina Njenga adai kutekwa nyara
Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga anadai kutekwa nyara na watu wasiojulikana katika kaunti ya Kiambu Jumamosi usiku.
Kulingana na wakili wake...
Prefontaine Classic Diamond League: Kipyegon, Koech watwaa ubingwa, Omanyala amaliza wa...
Bingwa mara tatu wa dunia karika mbio za mita 1500 Faith Kipyegon alinyakua taji ya Diamond League kwa mara ya tano, baada ya kuibuka...
Afrika Mashariki yatakiwa kukumbatia maonyesho ya Karibu Kusini Iringa
Wakazi wa Afrika Mashariki wametakiwa kutumia fursa ya Maonyesho ya Utalii yatakayofanyika katika viwanja vya Kihesa Kilolo mkoani Iringa -Tanzania baina ya Septemba 23...
Tumekusanya sahihi zaidi ya milioni 10, wasema Azimio
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umefichua kuwa umekusanya sahihi zaidi ya milioni 10 zinazotosha kufanya maamuzi muhimu dhidi ya serikali ya Kenya...
USMA waigutusha Ahly na kutwaa kombe la Super Afrika
Mabingwa wa kombe la shirikisho la soka barani Afrika klabu ya USM Algers kutoka Algeria ndio mabingwa wapya wa kombe la CAF Super kwa...
Waombolezaji wamiminika kumpa buriani Mangosuthu Buthelezi
Maelfu ya waombolezaji wamemiminika mapema Jumamosi kumpa buriani mpiganiaji wa uhuru nchini Afrika Kusini mwanawe mfalme wa Zulu, Mangosuthu Buthelezi,aliyefariki akiwa na umri wa...
COTU yataka wafanyakazi kupewa nyongeza ya asilimia 50 ya mshahara
Muungano wa wafanyakazi nchini (COTU) unataka nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi kwa asilimia 50 kuwakimu dhidi ya gharama ya juu ya maisha.
Wakizungumza na wanahabari ...
Makurutu 1,600 wateuliwa kujiunga na jeshi
Jeshi la Kenya limetangaza uteuzi wa jumla ya makurutu 1,606 waliofaulu katika uteuzi wa kitaifa ulioandaliwa baina ya mwishoni mwa Agosti na mwanzoni mwa...
Kipyegon na Chepkoech kufunga msimu Eugene Jumamosi
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon na mshindi wa nishani ya fedha ya dunia katika mita 3,000 kuruka...
Wizara ya Elimu yatoa shilingi bilioni 6 nukta 2 kwa shule...
Wizara ya elimu imetoa shilingi bilioni 6 nukta 2 kwa shule zote za umma nchini huku pesa hizo zikitarajiwa kufika kwa akaunti za shule...