Dismas Otuke
TSC yapuuza mapendekezo ya tume ya Rais kuhusu elimu
Tume ya kuwaajiri Walimu TSC imepuuzilia mbali baadhi ya mapendekezo ya tume ya Rais ya elimu, ambayo inapendekeza wizara ya elimu kusimamia mafunzo na...
Kalonzo ana imani na mazungumzo ya maridhiano
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameelezea matumaini yake na mazungumzo ya maridhiano yanayoendelea baina ya serikali na upinzani.
Kalonzo pia amesema ameridhishwa na...
Kenya yasaini mkataba wa kukuza mpira wa kikapu na NBA
Kenya imesaini mwafaka wa makubaliano na chama cha mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, utakaowezesha ukuzaji wa miundo msingi ta basketiboli nchini...
Harambee Stars yaporomoka nafasi nne katika uorodheshaji wa FIFA
Timu ya taifa ya Harambee Stars imeshuka kwa nafasi nne kutoka nambari 105 hadi 109 katika uorodheshaji wa dunia wa FIFA wa mwezi Septemba...
Utafiti: Wengi wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani
Idadi kubwa ya Wakenya wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya Trends and...
Ruto amteua Ingonga Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma
Rais William Ruto amemteua Renson Ingonga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma kwa kipindi cha miaka minane.
Ingonga anamrithi Noordin Haji aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi...
Senata Orwoba nje kwa miezi sita kwa ukaidi
Seneta mteule Gloria Orwoba amepigwa marufuku kukanyaga katika majengo ya bunge kwa muda wa miezi sita kwa kutoa madai ya uwongo dhidi ya Maseneta...
Arsenal wadedea huku Man U wakidoda Ligi ya Mabingwa Ulaya
Arsenal walisherehekea kurejea katika kipute cha Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa mara ya kwanza, baada ya subira ya miaka 6 kwa ushindi mkubwa...
Ruto ahudhuria mkutano mkuu wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa
Rais William Ruto siku ya Jumatatu amehudhuria mkutano mkuu wa kisiasa katika kikao cha Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo endelevu mjini New York, Marekani.
Ruto...
Wanyonyi atwaa taji ya Diamond kwa mara ya kwanza
Emmanuel Wanyonyi ndiye Mkenya pekee aliyeibuka mshindi wa tuzo ya Almasi katika siku ya pili na ya mwisho ya mkondo wa 14 wa Diamond...