Dismas Otuke
Ada mpya za kuzuru mbuga zitaponza utalii, wasema wadau
Wadau katika sekta ya utalii nchini wamelalamikia nyongeza mpya ya ada za kuzuru mbuga za wanyama nchini iliyotangazwa na serikali kuanzia Januari 1 mwaka...
Uhispania yaishinda Uswidi, yatinga fainali ya Kombe la Dunia kwa vidosho
Uhispania wamefuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya kuwashinda Uswidi mabao 2-1 katika nusu fainali iliyochezwa leo Jumanne...
Ujumbe wa kwanza wa Kenya kwa mashindano ya Riadha Ulimwenguni kuondoka...
Ujumbe wa kwanza wa timu ya Kenya itakayoshiriki mashindano ya Riadha Ulimwenguni utaondoka nchini Jumatatu usiku kuelekea Budapest Hungary, kwa makala ya 19 yatakayoandaliwa...
Shabana FC wasaini mkataba wa udhamini wa shilingi milioni 20 na...
Mabingwa wa National Super League Shabana FC wamezindua kampuni ya Bangbet kuwa mfadhili rasmi kwa msimu wa ligi kuu wa mwaka 2023/2024 wa kima...
Asamoah Gyan kufungua akademia ya kukuza vipaji nchini Ghana
Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana kati ya Asamoah Gyan amesema anaangazia kufungua akademia ya kutoa mafunzo ya soka nchini mwao kama njia...
Boateng atundika daluga akiwa na umri wa miaka 36
Kiungo wa zamani wa Ghana Kevin-Prince Boateng, amestaafu kutoka soka akiwa na umri wa miaka 36.
Boateng mzawa wa Berlin alitangaza kustaafu kwake kupitia kwa...
Butere Girls na St. Anthony Boys ndio mabingwa kitaifa wa soka...
Shule ya Wasichana ya Butere kutoka Magharibi ya Kenya na shule ya wavulana ya St. Anthony kutoka Kitale ndio mabingwa wa kitaifa wa mashindano...
Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la...
Wenyeji Australia maarufu kama Matildas wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa mabao 7-6...
Wawakilishi Wadi Kericho wataka waliofuja pesa za waathiriwa wa ajali Londiani...
Kamati ya bunge ya kaunti ya Kericho imependekeza kushtakiwa kwa watu sita waliohusika katika ufujaji wa shilingi milioni 14 zilizochangishwa kuwasaidia waathiriwa wa ajali...
Uswidi yafuzu nusu fainali ya 5 ya Kombe la Dunia
Uswidi imefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya 5 baada ya kuwabwaga Japani mabao 2-1 katika robo fainali iliyopigwa ugani...