Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1441 POSTS 0 COMMENTS

Malkia Strikers waiparamia Uganda na kunakili ushindi wa tatu Voliboli ya...

0
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake imesajili ushindi wa tatu mtalia katika mashindano ya kuwania Kombe la Afrika yanayoendelea mjini Yaounde nchini Cameroon. Kenya,...

Kenya kuwinda nishani katika fainali tatu Jumamosi

0
Kenya itakuwa ikiwinda nishani kwenye fainali tatu katika siku ya kwanza ya makala ya 19 ya mashindano ya riadha duniani mjini Budapest,Hungary siku ya...

Kongamano la nane la ugatuzi kufungwa Ijumaa

0
Kongamano la nane la ugatuzi nchini litafubgwa rasmi Ijumaa na naibu Rais Rigathi Gachagua mjini Eldoret gatuzi la Uasin Gishu. Kongamano ambalo sasa litakuwa...

Renson Igonga ateuliwa Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma

0
Rais William Ruto amemteua Renson Mulele Ingonga kuwa Mkurugenzi mkuu mpya wa mashtaka ya umma kumrithi Noordin Haji, aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa huduma...

Mashindano ya Riadha Ulimenguni yanukia Budapest, Hungary

0
Makala ya 19 ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Riadha Ulimwenguni yataandaliwa mjini Budapest nchini Hungary kati ya Agosti 19 na 27 mwaka huu. Jumla...

Wakulima wadogo kupata mikopo kutoka benki ya Faulu

0
Wakulima wadogo katika sekta ya ufugaji wa ngombe wa maziwa na kilimo cha mboga na matunda watapokea mikopo kutoka kwa benki ya Faulu Microfinance...

Tuwei achaguliwa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni

0
Rais wa Shirikisho la Riadha Kenya Jenerali mstaafu Jackson Tuwei, amechaguliwa kuwa mmoja wa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni kwenye uchaguzi ulioandaliwa...

Mamlaka ya KURA kufunga barabara ya Limuru-Aga Khan Agosti 20 kupisha...

0
Mamlaka ya usimamizi wa barabara za mijini nchini (KURA), imetangaza kutatizika kwa usafari kwenye barabara ya Limuru, na Aga Khan Primary Jumapili hii Agosti...

Raila kuhutubia kongamano la ugatuzi Alhamisi

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anatarajiwa kuhutubia kongamano la ugatuzi leo Alhamisi mjini Eldoret, siku moja baada ya kongamano hilo kufunguliwa rasmi na Rais...

Kombe la Dunia kwa wanawake: Mfungaji bora kubainika baada ya mechi...

0
Kinyangányiro cha mfungaji bora kweny fainali za Kombe la Dunia mwaka huu nchini Australia na Newzealand kitabainika Jumapili hii, Agosti 20 wakati wa fainali...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS