Dismas Otuke
Boateng atundika daluga akiwa na umri wa miaka 36
Kiungo wa zamani wa Ghana Kevin-Prince Boateng, amestaafu kutoka soka akiwa na umri wa miaka 36.
Boateng mzawa wa Berlin alitangaza kustaafu kwake kupitia kwa...
Butere Girls na St. Anthony Boys ndio mabingwa kitaifa wa soka...
Shule ya Wasichana ya Butere kutoka Magharibi ya Kenya na shule ya wavulana ya St. Anthony kutoka Kitale ndio mabingwa wa kitaifa wa mashindano...
Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la...
Wenyeji Australia maarufu kama Matildas wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa mabao 7-6...
Wawakilishi Wadi Kericho wataka waliofuja pesa za waathiriwa wa ajali Londiani...
Kamati ya bunge ya kaunti ya Kericho imependekeza kushtakiwa kwa watu sita waliohusika katika ufujaji wa shilingi milioni 14 zilizochangishwa kuwasaidia waathiriwa wa ajali...
Uswidi yafuzu nusu fainali ya 5 ya Kombe la Dunia
Uswidi imefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya 5 baada ya kuwabwaga Japani mabao 2-1 katika robo fainali iliyopigwa ugani...
Kenya yamaliza ya 6 michezo ya Jumuiya ya Madola kwa chipukizi
Kenya imemaliza ya sita katika makala ya 7 ya michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Trinidad and Tobago.
Kenya imezoa jumla ya medali 9, dhahabu...
Kombe la Dunia Wanawake: Uhispania yaiparuza Uholanzi na kutinga nusu fainali
Uhispania imejikatia tiketi ya kushiriki nusu fainali ya Kombe la Dunia kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Uholanzi kupitia muda wa ziada, katika...
Inspekta Mkuu wa Polisi atakiwa kutoa ushahidi wa kukodiwa kwa miili
Wahudumu wa vyumba vya kuhifadhi maiti kote nchini wamemtaka Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome kutoa ushahidi wa miili iliyokodiwa na wanasiasa wa upinzani...
Walimu wastaafu kupokea malipo ya uzeeni ndani ya miezi 6
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amesema walimu wanostaafu watakuwa wakipokea malipo ya uzeeni ndani ya miezi sita baada ya kustaafu.
Akijibu swali la seneta wa...
Cherop na Sang watwaa dhahabu Trinidad
Nancy Cherop na Josephat Sang walinyakua dhahabu katika mbio za mita 1500, katika makala ya saba ya Michezo ya Jumuiya ya Madola nchini...