Dismas Otuke
Makurutu 1,600 wateuliwa kujiunga na jeshi
Jeshi la Kenya limetangaza uteuzi wa jumla ya makurutu 1,606 waliofaulu katika uteuzi wa kitaifa ulioandaliwa baina ya mwishoni mwa Agosti na mwanzoni mwa...
Kipyegon na Chepkoech kufunga msimu Eugene Jumamosi
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon na mshindi wa nishani ya fedha ya dunia katika mita 3,000 kuruka...
Wizara ya Elimu yatoa shilingi bilioni 6 nukta 2 kwa shule...
Wizara ya elimu imetoa shilingi bilioni 6 nukta 2 kwa shule zote za umma nchini huku pesa hizo zikitarajiwa kufika kwa akaunti za shule...
Croatia yapokonywa mbio za nyika duniani mwaka 2024 kufuatia uzembe
Croatia imepokonywa maandalizi ya mashindano ya dunia ya mbio za nyika mwaka 2024 kutokana na utepetevu.
Shirikisho la riadha Ulimwenguni limetoa taarifa leo Ijumaa kusema...
Wakenya wabanwa zaidi baada ya matatu kuongeza nauli
Wakenya watalazimika kukabiliana na makali ya hali ngumu ya kiuchumi na gharama ya juu ya maisha, baada ya wenye matatu kutangaza kuongeza nauli za...
Waziri Namwamba ateuliwa kwenye jopo la Jumuiya ya Madola kwa miaka...
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba ameteuliwa katika jopo la mawaziri wa Jumuiya ya Madola wanaohusika na masuala ya vijana kwa kipindi cha miaka minne.
Uteuzi...
Serikali ya Morocco kuwajengea nyumba watu elfu 50 walioathiriwa na tetemeko...
Serikali ya Morocco imetangaza mpango wa kuwajengea makazi mapya familia elfu 50 zilizopoteza makao kutokana na tetemeko baya zaidi la ardhi mapema mwezi huu.
Mfalme...
Wafanyazaki kuelemewa na mzigo wa ushuru, asema Okwaro
Naibu katibu mkuu wa muungano wa wafanyakazi nchini, COTU Benson Okwaro amesema ushuru unaotozwa na ule unaopangwa kuanzishwa na serikali utakuwa mzigo mkubwa kwa...
Umeme waanza kurejea Nigeria kufuatia giza totoro
Umeme umeanza kurejeshwa nchini Nigeria baada ya taifa zima kutumbukia katika giza totoro kufuatia kutoweka kwa umeme kwa zaidi ya saa kumi kutokana na...
Hussein ana imani Waziri Namwamba atasanifisha soka Kenya
Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Extreme Sports Limited Hussein Mohammed ameelezea matumaini ya Waziri wa Michezo Ababu Namwamba kurejesha hadhi ya soka nchini.
Akizungumza...