Dismas Otuke
Utafiti: Wengi wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani
Idadi kubwa ya Wakenya wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya Trends and...
Ruto amteua Ingonga Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma
Rais William Ruto amemteua Renson Ingonga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma kwa kipindi cha miaka minane.
Ingonga anamrithi Noordin Haji aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi...
Senata Orwoba nje kwa miezi sita kwa ukaidi
Seneta mteule Gloria Orwoba amepigwa marufuku kukanyaga katika majengo ya bunge kwa muda wa miezi sita kwa kutoa madai ya uwongo dhidi ya Maseneta...
Arsenal wadedea huku Man U wakidoda Ligi ya Mabingwa Ulaya
Arsenal walisherehekea kurejea katika kipute cha Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa mara ya kwanza, baada ya subira ya miaka 6 kwa ushindi mkubwa...
Ruto ahudhuria mkutano mkuu wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa
Rais William Ruto siku ya Jumatatu amehudhuria mkutano mkuu wa kisiasa katika kikao cha Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo endelevu mjini New York, Marekani.
Ruto...
Wanyonyi atwaa taji ya Diamond kwa mara ya kwanza
Emmanuel Wanyonyi ndiye Mkenya pekee aliyeibuka mshindi wa tuzo ya Almasi katika siku ya pili na ya mwisho ya mkondo wa 14 wa Diamond...
Maina Njenga aachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja
Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga ameshtakiwa kwa kumiliki silaha butu na kuachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi laki moja.
Njenga amefikishwa...
Viongozi zaidi ya 140 kuhudhuria kikao cha 78 cha Umoja wa...
Viongozi zaidi ya 140 kutoka mataifa mbalimbali wako jijini New York, Marekani kuhudhuria kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA.
Kikao...
Ruto akutana na Seneta Coons wa Marekani
Rais William Ruto amefanya kikao cha faragha na Seneta Chris Coons wa Marekani katika ziara yake mjini New York.
Seneta Coons anayewakilisha jimbo la Delaware...
Watoto 6 wafariki kwa moto Kericho
Watoto wa familia moja wameteketea hadi kufariki mapema leo Jumatatu kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza nyumba yao mtaani Kiptenden, eneo bunge la Kipkelion Magharibi,...