Dismas Otuke
Kongamano la nane la ugatuzi kufungwa Ijumaa
Kongamano la nane la ugatuzi nchini litafubgwa rasmi Ijumaa na naibu Rais Rigathi Gachagua mjini Eldoret gatuzi la Uasin Gishu.
Kongamano ambalo sasa litakuwa...
Renson Igonga ateuliwa Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma
Rais William Ruto amemteua Renson Mulele Ingonga kuwa Mkurugenzi mkuu mpya wa mashtaka ya umma kumrithi Noordin Haji, aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa huduma...
Mashindano ya Riadha Ulimenguni yanukia Budapest, Hungary
Makala ya 19 ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Riadha Ulimwenguni yataandaliwa mjini Budapest nchini Hungary kati ya Agosti 19 na 27 mwaka huu.
Jumla...
Wakulima wadogo kupata mikopo kutoka benki ya Faulu
Wakulima wadogo katika sekta ya ufugaji wa ngombe wa maziwa na kilimo cha mboga na matunda watapokea mikopo kutoka kwa benki ya Faulu Microfinance...
Tuwei achaguliwa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni
Rais wa Shirikisho la Riadha Kenya Jenerali mstaafu Jackson Tuwei, amechaguliwa kuwa mmoja wa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni kwenye uchaguzi ulioandaliwa...
Mamlaka ya KURA kufunga barabara ya Limuru-Aga Khan Agosti 20 kupisha...
Mamlaka ya usimamizi wa barabara za mijini nchini (KURA), imetangaza kutatizika kwa usafari kwenye barabara ya Limuru, na Aga Khan Primary Jumapili hii Agosti...
Raila kuhutubia kongamano la ugatuzi Alhamisi
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anatarajiwa kuhutubia kongamano la ugatuzi leo Alhamisi mjini Eldoret, siku moja baada ya kongamano hilo kufunguliwa rasmi na Rais...
Kombe la Dunia kwa wanawake: Mfungaji bora kubainika baada ya mechi...
Kinyangányiro cha mfungaji bora kweny fainali za Kombe la Dunia mwaka huu nchini Australia na Newzealand kitabainika Jumapili hii, Agosti 20 wakati wa fainali...
Seneta Mandago na wenzake wawili kufikishwa mahakamani Alhamisi
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago anatarajiwa kufikishwa mahakamani Nakuru leo Alhamisi, Agosti 17, kujibu mashtaka kadhaa ya ufisadi.
Mandago na wenzake wawili...
Uhispania kumenyana na Uingereza fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake
Uingereza itapambana dhidi ya Uhispania kwenye fainali ya makala ya 9 ya fainali za kombe la dunia kwa wanawake.
Uingereza imefuzu kwa fainali Jumatano baada...