Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1441 POSTS 0 COMMENTS

Wiyeta Girls watinga nusu fainali, St Anthony Boys Kitale na Shanderema...

0
Wiyeta Girls ya Tranz Nzoia imefuzu kwa nusu fainali ya soka katika michezo baina ya shule za sekondari Afrika Mashariki inyaoendelea mjini Huye nchini...

Malkia Strikers watinga fainali ya Kombe la Afrika na kufuzu kwa...

0
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawawake almaarufu Malkia Strikers imejikatia tiketi ya kushiriki michezo ya Olimpiki mwaka ujao jijini Paris nchini Ufaransa baada...

Machogu kufika bungeni Alhamisi kufafanua utata unaogubika mfumo mpya wa kufadhili...

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu elimu kutoa ufafanuzi kuhusu utata uliopo katika mfumo mpya wa kuwafadhili...

Kipsang na Cheruiyot wawinda dhahabu telezi ya mita 1500 Budapest

0
Abel Kipsang na Reynold Kipkorir ndio wakenya watakaojitosa uwanjani jumatano usiku katika  fainali ya mita 1500 mjini Budapest Hungary. Kipsanga anaorodheshwa wa tatu ulimwenguni huku...

Kipyegon kipusa wa kwanza kutwaa dhahabu tatu za dunia katika mita...

0
Faith Kipoyegon baada ya kuhifadhi taji ya dunia ya mbio za mita 1500 Jumanne usiku mjini budapest Hungary kwenye mashindano ya dunia,ameingia kwenye madaftari...

Faith Kipyegon alenga kuhifadhi dhahabu ya dunia mita 1,500 Jumanne

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki na dunia katika mbio za mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon atashuka katika uwanja wa kitaifa wa Budapest Jumanne...

Sha Carri Richardson amzima Shelly Ann katika mita 100

0
Sha Carri Richardson ndiye bingwa mpya wa dunia baada ya kuandikisha rekodi mpya jana Jumatatu usiku mjini Budapest nchini Hungary ya sekunde 10.65. Bingwa mtetezi ...

Wakenya wa ughaibuni walituma nyumbani shilingi bilioni 54 mwezi Julai pekee

0
Wakenya wanaoishi ughaibuni walituma nyumbani shilingi bilioni 54 nukta 6 mwezi Julai mwaka huu ikiwa ongezeko la asilimia 18 nukta 4, kutoka kwa bilioni...

Cheptegei agura mbio za uwanjani baada ya kutwaa dhahabu ya tatu...

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 10,000 Joshua Cheptegei wa Uganda, ametangaza kuhama mashindano ya uwanjani baada ya kutwaa dhahabu ya...

TSC kukutana na vyama vya walimu kujadili nyongeza ya mishahara

0
Tume ya kuwaajiri walimu TSC inatarajiwa kukutana na vyama vya walimu wiki hii kujadili kuhusu nyongeza mpya ya mishahara. Vyama vya walimu vinatarajiwa kufanyia mabadiliko...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS