Dismas Otuke
Kenya kusaka medali katika siku ya pili ya mashindano ya Riadha...
Wanariadha wa Kenya wataendelea kusaka medali ya kwanza huku makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Ulimwenguni yakiingia siku ya pili Jumapili mjini Budapes...
Kipyegon,Chepchirchir na Jebitok wafuzu nusu fainali ya mita 1500 mashindano ya...
Bingwa mtetezi wa dunia Faith Kipyegon,Nelly Chepchirchir na Edinah Jebitok wamefuzu kwa nusu fainali ya Jumapili ya mbio za mita 1500,katika siku ya kwanza...
Kibiwott,Koech na Bett wafuzu kwa fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi...
Wanariadha wote watatu wa Kenya Leonard Bett,Abraham Kibiwott na Simon Koech wamefuzu kwa fainali ya mbio za mita mita 3,000 kuruka viunzi na katika...
Kipyegon kuwania taji ya tatu ya dunia mjini Budapest Hungary
Bingwa mara mbili wa dunia katika mbio za mita 1500 Faith Kipyegon atalenga kunyakua dhahabu ya tatu ya shindano hilo atakapojitosa uwanjani katika raundi...
Mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest yacheleweshwa kuanza kwa dakika...
Makala ya 19 ya mashindano ya Riadha ya Dunia yalicheleweshwa kuanza kwa tarkiban lisaa limoja mapema Jumamosi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha mjini...
Mashindano ya riadha ulimwenguni yaanza Budapest
Kenya itakuwa ikiwinda nishani kwenye fainali tatu katika siku ya kwanza ya makala ya 19 ya mashindano ya riadha duniani mjini Budapest, Hungary leo...
Malkia Strikers waiparamia Uganda na kunakili ushindi wa tatu Voliboli ya...
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake imesajili ushindi wa tatu mtalia katika mashindano ya kuwania Kombe la Afrika yanayoendelea mjini Yaounde nchini Cameroon.
Kenya,...
Kenya kuwinda nishani katika fainali tatu Jumamosi
Kenya itakuwa ikiwinda nishani kwenye fainali tatu katika siku ya kwanza ya makala ya 19 ya mashindano ya riadha duniani mjini Budapest,Hungary siku ya...
Kongamano la nane la ugatuzi kufungwa Ijumaa
Kongamano la nane la ugatuzi nchini litafubgwa rasmi Ijumaa na naibu Rais Rigathi Gachagua mjini Eldoret gatuzi la Uasin Gishu.
Kongamano ambalo sasa litakuwa...
Renson Igonga ateuliwa Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma
Rais William Ruto amemteua Renson Mulele Ingonga kuwa Mkurugenzi mkuu mpya wa mashtaka ya umma kumrithi Noordin Haji, aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa huduma...