Dismas Otuke
Atletico waizima Real derby ya Madrid
Atletico Madrid wakicheza nyumbani walivunja rekodi ya Real Madrid ya kutopotezs mechi msimu huu,katika derby ya Jumapili usiku walipoilaza mabao 3 kwa moja mchuano...
Somaliland yakataa kuunganishwa na Somalia
Taifa la Somaliland likemektaa kata kata mazungumzo yoyote yanayopendekeza kuunganishwa na Somalia.
Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari Somaliland, imesema iko tayari kwa majadiliano yoyote...
Maonyesho ya kimataifa ya Nairobi kuanza rasmi Jumatatu
Maonyesho ya kimataifa ya Nairobi yataanza Jumatatu na kukamilika Oktoba mosi mwaka huu katika uwanja wa Jamhuri park Showground katika barabara ya Ngong .
Maonyesho...
Multichoice yataka serikali kumaliza wizi wa hakimiliki
Kuna haja ya serikali kuingilia kati na kumaliza wizi wa hakimiliki za sekta ya sanaa ili kuinusuru dhidi ya kuporomoka.
Haya ni kwa mjibu wa...
Wanyonyi ana imani ya kushinda ugavana Nairobi mwaka 2027
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi ameelezea matumaini yake ya kunyakua kiti cha Ugavana wa kaunti ya Nairobi katika uchaguzi wa mwaka 2027 .
Wanyonyi...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin kuzuru Kenya Jumatatu
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin atazuru Kenya Jumatatu na kufanya kikao na mwenzake kutoka Kenya Aden Duale katika makao makuu ya Ulinzi.
Wawili...
Kipchoge ashinda Berlin Marathon kwa mara ya tano
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Eliud Kipchoge, ameshinda taji ya tano ya mbio za Berlin Marathon nchini Ujerumani akihifadhi ubingwa wa mwaka jana kwa...
Makumi ya maelfu waandamana Paris
Makumi ya maelfu ya waandamanaji walijitokeza katika maaandamano ya Jumamosi katika mji mkuu wa Ufaransa Paris.
Maandamano hayo ni ya hivi punde ikiwa miezi mitatu...
Kipchoge na Kipruto kuzua mhemuko Berlin Marathon
Bingwa mtetezi wa mbio za Berlin Marathon Eliud Kipchoge na bingwa wa London marathon mwaka 2022 Amos Kipruto watapambana katika makala ya 49...
Wafanyakazi wa bodi ya maji ya Lodwar (LOWASCO) wapokea mafunzo
Wafanyakazi wa bodi ya maji ya Lodwar, LOWASCO walinufaika kwa mafunzo ya kuboresha usimamizi na utendakazi.
Mafunzo hayo ya siku tatu kwa wafanyakazi wa halmashauri...