Dismas Otuke
Gor Mahia na Police FC kazi ipo dhidi Mafarao wikendi...
Gor Mahia na Police FC zote za humu nchini zitakabiliwa na kibarua kigumu katika mkumbo wa kwanza mchujo wa pili, kuwania kombe la Ligi...
Wanawake waandamanaji waliokuwa uchi nchini Uganda waachiliwa huru
Wanawake watatu waliokamatwa wakishiriki maandamano ya kupinga serikali ya Rais Museveni wakiwa uchi mjini Kampala Uganda, wameachiliwa huru.
Hakimu wa mahakama ya Buganda Road amewaachilia...
Wafanyakazi wa kampuni ya Boeing wagoma nchini Marekani
Shughuli za kawaida katika kiwanda cha kampuni ya Marekani cha kuunda ndege aina ya Boeing, zimekwama Ijumaa baada ya wafanyakazi kususia kazi wakiteta kuhusu...
Wanariadha wa Kenya kujitosa Brussels kuwinda kitita na tiketi ya Dunia
Wanariadha wa Kenya watajitosa uwanjani Ijumaa na Jumamosi usiku mjini Brussels katika mkondo wa mwisho wa mashindano ya Diamond League nchini Ubelgiji, wakiwania donge...
PSG yaamrishwa kumlipa Mbappe malimbikizi ya ujira wa dola milioni 61
Tume ya sheria katika Ligi Kuu ya Ufaransa imeamrisha klabu ya Paris Saint-Germain, PSG kumlipa aliyekuwa mshambulizi wake Kylian Mbappé malimbikizi wa ya ujira...
Mwanaharakati Gachoka awasilisha kesi ya tatu kupinga kukodishwa kwa JKIA
Mwanaharakati Tony Gachoka jana Alhamisi aliwasilisha kesi ya tatu mahakamani kupinga kukodishwa kwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA kwa mfanyabiashara...
Kenya kukwangurana na Tanzania CECAFA U-20
Kenya imepangwa katika kundi moja la A na wenyeji Tanzania katika mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi chini ya umri wa miaka...
Sebb Coe afungiwa kuwania urais wa IOC
Azima ya Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni Sebb Coe kuwania urais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, IOC imegonga mwamba baada ya sheria...
Septemba 27 ni sikukuu nchini St. Lucia kumsherehekea Julien Alfred
Raia wa kisiwa cha Saint Lucia wamepewa sikukuu ya mapumziko tarehe 27 Septemba mwaka huu, ili kusherehekea ushindi wa bingwa wa Olimpiki katika mita...
Arteta asaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Arsenal
Meneja wa klabu cha Arsenal Mikel Arteta,amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na timu hiyo ya London utakaokamilika mwaka 2027.
Mhispania huyo aliye na umri...