Dismas Otuke
Wanyonyi atangaza kuwania uenyekiti wa ODM Nairobi
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amejitosa kwenye kinyang'anyirio cha Uenyekiti wa chama cha Orange Democratic movement(ODM) katika kaunti ya Nairobi.
Akizungumza jana katika kanisa la ...
Wanariadha kunufaika baada ya AK kupata ufadhili wa shilingi milioni 15...
Wanariadha wanaoshiriki mashindano ya mbio za nchi na yale ya uwanjani wanatarajwia kunufaika pakubwa kufuatia kusainiwa kwa ufadhili wa kima cha shilingi milioni 15,...
Wizara ya Leba kufanya usaili wa wakazi 1,000 wa Nakuru wanaopania...
Wizara ya Leba na ulinzi wa jamii itaandaa usaili wa wakazi 1,000 wa kaunti ya Nakuru wanaopania kufanya kazi ughabini.
Waziri wa Leba Alfred Mutua...
Wakenya 63 wawasili nchini baada ya kuhamishwa na serikali kutoka Lebanon
Jumla ya Wakenya 63 waliwasili nchini wiki iliyopita baada ya kuhamishwa na serikali kutoka Lebanon kufuatia mashambulizi ya Israel.
Watu 40 waliwasili Alhamisi iliyopita katika...
TP Mazembe watwaa taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa vidosho
TP Mazembe ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ndio washindi wa makala ya nne ya taji la Ligi ya Mabingwa Afrika .
Mazembe walitawazwa...
CAF yaanza ukaguzi wa viwanja vya CHAN nchini Uganda,Kenya na Tanzania
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeanza ukaguzi wa viwanja vitakavyotumika kuandaa fainali za kuwania kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi...
Wenyeji Morocco waangukia kundi la mauti kipute cha WAFCON
Wenyeji Morocco wamejumuishwa kundi gumu la A katika fainali za kuwania kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) mwaka ujao.
Morocco wamejumuishwa pamoja na...
Kamati ya bunge ya ardhi yakamilisha kikao cha siku mbili pwani
Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu ardhi imekamilisha kikao cha siku mbili katika eneo la pwani kutathimini bajeti ya afisi za usajili wa ardhi...
Wahadhiri kurejea kazini Jumatatu Novemba 25 baada ya mgomo kusitishwa
Wahadhiri na wafanyikazi wote wa vyuo vikuu vya umma kote nchini watarejea kazini Jumatatu ijayo Novemba 25 ,hii ni baada ya chama cha UASU...
Wanariadha takriban 10,000 wajisajili kwa Chepsaita Cross Country
Takriban wanariadha 10,000 wamejiandikisha kushiriki makala ya pili ya mbio za The Great Chepsaita Cross Country zilizoratibiwa kuandaliwa taehe 7 mwezi ujao katika kaunti...