Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1277 POSTS 0 COMMENTS

Kenya yaangukia pua dhidi ya Argentina michezo ya Olimpiki

0
Timu ya taifa ya Kenya ya raga kwa wanaume saba upande -Shujaa, imeanza michezo ya Olimpiki ndivyo sivyo baada ya kuambulia kipigo cha kitutu...

Kenya kufungua Olimpiki leo dhidi ya Argentina katika raga

0
Timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wanaume saba upande maarufu kama Shujaa, itaanza harakati za kuwinda nishani ya Olimpiki katika makala ya...

Chimbuko la Olimpiki sehemu ya pili

0
Makala ya 33 ya michezo ya Olimpiki inayoandaliwa kila baada ya miaka minne, yataanza rasmi leo Julai 24 jijini Paris,Ufaransa  kwa mechi za mchezo...

Sehemu ya 1: Chimbuko la Michezo ya Olimpiki

0
Michezo ya Olimpiki inayoandaliwa kila baada ya miaka minne ilianzia nchini Ugiriki kabla ya kufufuliwa tena katika karne ya 19. Michezo hiyo iliwashirikisha wachezaji limbukeni...

KMTC yafungua maombi ya kozi kupitia mtandao wa KUCCPS

0
Chuo cha mafunzo ya matibabu nchini, KMTC kimetangaza kuanza kupokea maombi ya kozi katika mabewa ya chuo hicho kupitia tovuti ya Mamlaka ya Kutoa...

Omanyala na Atuka kupeperusha bendera ya Kenya katika ufunguzi wa Olimpiki

0
Bingwa  wa Jumuiya ya Madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala na nahodha wa timu ya taifa ya Voliboli kwa vipusa Triza Atuka...

Malkia Strikers na Shujaa zawasili Paris tayari kwa michezo ya Olimpiki

0
Timu ya taifa ya mpira wa wavu ya wanawake almaarufu Malkia Strikers imewasili mjini Paris nchini Ufaransa siku ya Jumatatu, tayairi kwa mechi  za...

Waalikwa Red Arrows watwaa kombe la CECAFA

0
Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Zambia Red Arrows ndio washindi wa mwaka huu  wa kombe la muungano wa vyama vya soka Afrika mashariki na...

Biden ajiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais

0
Rais Joe Biden amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais nchini Marekani. Uchaguzi mkuu nchini humo umepangwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu. "Wanachama wenzangu wa Democrat, nimeamua kwamba...

Mitihani ya kitaifa kuathiriwa kutokana na kupunguzwa kwa bajeti

0
Katibu wa Elimu  ya msingi Belio Kipsang ameonya kuwa huenda mitihani ya kitaifa ikaathiriwa vibaya, kutokana na hatua ya serikali ya kupunguza bajeti ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS