Dismas Otuke
Serikali kutumia shilingi milioni 100 kuwarejesha Wakenya nyumbani kutoka Lebanon
Serikali imetenga shilingi milioni 100 kuwahamisha Wakenya walio nchini Lebanon, kutokana na mashambulizi ya majeshi ya Isreal dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah.
Haya yamesemwa na...
Afisa bandia wa EACC anaswa kwa kutapeli Wakenya
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC,imemkamata jamaa ambaye amekuwa akitapeli umma akijidai kuwa Mkurugenzi wa kijasusi wa tume hiyo.
EACC ilifanya...
Ni afueni kwa Wakenya baada ya mikopo ya benki kupungua kwa...
Ni afueni kwa Wakenya baada ya Benki Kuu CBK kutangaza kushuka kiwango cha mikopo kutoka asilimia 12.75, hadi asilimia 12 katika benki zote.
Ni mara...
Junior Starlets waibwaga Dominica, mechi ya kirafiki
Timu ya taifa ya Kenya kwa wachezaji soka walio chini ya umri wa miaka 17 -Junior Starlets, waliwagutusha wenyeji wa fainali za Kombe la...
Harambee Stars yakamilisha mazoezi kabla ya safari ya Cameroon
Timu taifa ya Soka ya Kenya,Harambee Stars ilikamilisha mazoezi jana jioni katika uwanja wa Police Sacco, kujiandaa kwa mechi ya tatu ya kundi J,...
Waziri Duale kuongoza sherehe za mazingira kesho
Waziri wa Mazingira Aden Duale ataongoza sherehe za kuadhimisha sikukuu ya mazingira kesho Alhamisi.
Sherehe hizo zitafanyika katika bustani ya Arboretum, kaunti ya Nairobi.
Sherehe...
Gachaguai aanza kutema ushahidi bungeni kupinga kufurushwa ofisini
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameaanza kutoa utetezi na ushahidi kwenye bunge la kitaifa Jumanne jioni kupinga kutimuliwa afisini kwa tuhuma mbalimbali.
Gachagua alianza kujitetea majira...
Majaji sita walionyimwa kazi na Uhuru kupokea shilingi milioni 126
Majaji sita walionyimwa kazi na Rais Uhuru Kenyatta wamepewa malipo ya shilingi milioni 126 kama dhamana kwa ukiukaji wa haki zao za kimsingi.
Jaji Chacha...
Serikali yatoa shilingi bilioni 3.4 kwa mradi wa inua Jamii
Serikali imetoa shilingi bilioni 3,492,591,500 kwa mradi wa inua jamiii katika mwezi wa Septemba.
Wizara ya leba na ulinzi wa jamii imesema hela hizo zinalenga...
Simba wa Cameroon wajiandaa kuwang’ata Kenya
Timu ya taifa ya Cameroon almaarufu The Indomitable Lions imeendeleza mazoezi mjini Yaounde kujiandaa kwa mechi ya tatu ya kundi J, kufuzu kwa fainali...