Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1568 POSTS 0 COMMENTS

Usaili wa mwenyekiti mpya wa IPOA kuandaliwa Oktoba 22 na 23

0
Mahojiano ya kumtafuta mwenyekiti mpya wa Mamlaka Huru ya Kuangazia Utenda Kazi wa Maafisa wa Polisi, IPOA yataandaaliwa kati ya Oktoba 22 na 23. Wadhifa...

Brazil washinda, Colombia wapigwa huku Argentina wakikabwa koo

0
Mabingwa wa dunia Argentina wamelazimishwa kutoka sare ya bao moja ugenini dhidi ya Venezuela katika mechi za Amerika Kusini kufuzu kwa Kombe la Dunia...

Gachagua kupewa saa tano kujitetea Seneti

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua atapewa jumla ya muda wa saa tano kujitetea atakapofika mbele ya bunge la Seneti Alhamisi wiki ijayo. Kesi ya Gachagua itaanza...

Leo ni siku ya ndovu kumla mwanawe Kenya dhidi ya Cameroon

0
Kenya itamenyana na Cameroon leo kuanzia saa moja usiku katika uwanja wa Ahmadou Ahidjo Japoma mjini Yaounde, Cameroon katika mechi ya kundi J kufuzu...

Sogora wa Tennis Rafael Nadal astaafu akiwa na umri...

0
Gwiji wa tennis Rafael Nadal wa Uhispania ametangaza kustaafu akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kushinda mataji 22 ya Grand Slam . Nadal,amecheza...

Kocha Firat atangaza wachezaji 24 kwa kibarua cha Cameroon

0
Kocha wa timu ya taifa ya Soka ya Kenya-Harambee Stars,Engin Firat ametaja kikosi cha wanandinga  24, wakaoshiriki mechi  mbili za kundi J kufuzu kwa...

Usafishaji wa mto Nairobi kukamilika kwa mwaka mmoja unusu

0
Serikali imetoa hakikisho la kukamilisha usafishaji wa mto Nairobi kwa muda wa miezi 18 ijayo. Waziri wa Mazingira Aden Duale ametangaza haya leo alipoongza sherehe...

Karua ashutumu bunge kwa kumbandua Gachagua

0
Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua amesema ameshutumu bunge kwa kutumika vibaya, kufuatia hatua yake ya kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua. Karua amesema...

Serikali kutumia shilingi milioni 100 kuwarejesha Wakenya nyumbani kutoka Lebanon

0
Serikali imetenga shilingi milioni 100 kuwahamisha Wakenya walio nchini Lebanon, kutokana na mashambulizi ya majeshi ya Isreal dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah. Haya yamesemwa na...

Afisa bandia wa EACC anaswa kwa kutapeli Wakenya

0
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC,imemkamata jamaa ambaye amekuwa akitapeli umma akijidai kuwa Mkurugenzi wa kijasusi wa tume hiyo. EACC ilifanya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS