Dismas Otuke
Harambee Stars yaendeleza mazoezi tayari kwa mechi ya Sudan Kusini
Timu ya taifa ya Kenya ,Harambee Stars imeendeleza maozezi yake Ijumaa jioni katika uwanja wa Nelson Mandela jijini Kampala Uganda.
Stars inayoongozwa na kocha Engin...
Uhispania waikwaruza Uingereza na kufuzu fainali ya Kombe la Dunia
Uhispania wameikwatua Uingereza mabao 3-0, mapema leo na kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia kwa wasichana chini ya umri wa miaka 17 .
Nusu...
Kindiki aahidi kuwa msaidizi mwaminifu wa Rais Ruto
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ameahidi kutekeleza majukumu yake ipasavyo kisheria baada ya kuteuliwa kuwa msaidizi wa Rais William Ruto.
Akihutubu punde baada ya kula...
Ruto: Kindiki kutoa huduma nilizokosa kwa miaka miwili
Rais William Ruto amesema ana imani na Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa ataboresha utendakazi wa serikali yake katika manifesto ya Kenya Kwanza.
Akihitubu katika ukumbi...
Ruto: Nina imani na Kindiki katika afisi ya Naibu Rais
Rais William Ruto amemlimbikizia sifa sufufu Prof. Kithure Kindiki baada ya kuapishwa kuwa Naibu Rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya chini ya katiba...
Kindiki aahidi kuwa msaidizi mwaminifu wa Rais Ruto
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ameahidi kutekeleza majukumu yake ipasavyo kisheria baada ya kuteuliwa kuwa msaidizi wa Rais William Ruto.
Akihutubu punde baada ya kula...
Kindiki aapishwa rasmi kuwa Naibu Rais
Professa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa tatu wa Kenya chini ya katiba mpya iliyorasimishwa mwaka 2010.
Kindiki akiandamana na mkewe Joyce...
Wasifu wa Naibu Rais mteule Kithure Kindiki
Abraham Kithure Kindiki ambaye ataapishwa kuwa Naibu Rais leo Ijumaa katika ukumbi wa KICC, alizaliwa Julai 17 mwaka 1972 katika wilaya ya Meru.
Kindiki alisomea...
Uapisho wa Kindiki: Maelfu wamiminika KICC
Maelfu ya Wakenya, wengine waliosafiri jana usiku hususan kutoka Tharaka Nithi anakotoka Naibu Rais mteule na wakazi wa Nairobi, wamefurika katika ukumbi wa KICC...
Prof. Kindiki kula kiapo cha kuwa Naibu Rais
Profesa Abraham Kithure Kindiki ataapishwa leo katika ukumbi wa KICC kuwa Naibu Rais katika hafla ambayo itang'oa nanga rasmi saa nne asubuhi.
Prof. Kindiki tayari...