Dismas Otuke
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Ally Kibao auawa kikatili
Mwili wa mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Ally Kibao aliyetekwa nyara kutoka kwa basi na wanaume waliojihami waliojihami kwa bunduki, umepatikana viungani mwa jiji...
Dirisha refu la uhamisho katika Ligi Kuu ya FKF kufungwa leo
Dirisha refu la uhamisho wachezaji katika ligi kuu ya Kenya,FKF linatarajiwa kufungwa leo usiku wa manane, huku shirikisho la kandanda likitoa siku 10 kwa...
Walioangamia kwenye ajali ya lori la mafuta, Nigeria wagonga 48
Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa mlipuko wa lori la mafuta hapo jana nchini Nigeria imepanda hadi 48.
Kulingana na shirika la kiserikali la...
Rais Tebboune ashinda muhula wa pili nchini Algeria
Rais Abdulmadjid Tebboune ameshinda muhula wa pili kuliongoza taifa la Ageria, baada ya kupata asilimia 95 ya kura zilizopigwa Jumamosi iliyopita.
Matokeo hayo yalitangazwa Jumapili...
Wakazi wa Kitui wakimbia makwao wakihofia usalama
Mamia ya wakazi wa maeneo ya Ngomeni na Mandongoi, eneo la Mwingi Kaskazini kaunti ya Kitui, wametoroka makwao kwa hofu ya usalama kufuatia uvamizi...
Harambee Stars waendeleza mazoezi Jo’ burg
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imeendeleza mazoezi mjini Johannesburg Afrika Kuisni,kujiandaa kwa mechi ya pili ya kundi J, kufuzu kwa fainali za...
Michezo ya Olimpiki kwa walemavu jijini Paris kufungwa Jumapili
Michezo ya Olimpiki kwa wanamichezo walemavu itafungwa rasmi Jumapili usiku, baada ya kudumu kwa zaidi ya majuma mawili.
Olimpiki kwa walemavu ilishirikisha zaidi ya nchi...
Maelfu waandamana Israel, wataka mateka kuachiliwa Gaza
Makumi ya maelfu ya raia wa Israel wamejitokeza barabarani mapema Jumapili kumshinikiza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kutia saini makubaliano yatakayowezesha kuachiliwa huru kwa Waisraeli...
Wakenya Mary Ngugi na Abel Kipchumba washinda mbio za The Great...
Wakenya Mary Ngungi-Cooper na Abel Kipchumba, ndio washindi wa makala ya mwaka huu ya mbio za nusu marathaoni za The Great North Run, zilizoandaliwa...
Mudavadi kuondoka nchini Jumapili kwa ziara Namibia
Waziri mwenye Mamlaka Makuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi, anatarajiwa kuondoka nchini Jumapili jioni kuelekea mjini Windhoek, Namibia kwa...