Dismas Otuke
Magavana washutumu kukamatwa kwa Gavana Godhana
Baraza la Magavana nchini limeshutumu vikali kukamatwa kwa Gavana wa Tana River Dhadho Godhana, jana usiku kutoka nyumbani kwake na maafisa wa DCI.
Mwenyekiti wa...
Kipruto na Chepng’etich walenga ubingwa Chicago Marathon
Amos Kipruto na bingwa mara mbili Ruth Chepng'etich watashiriki makala ya 46 ya mbio za Chicago Marathon kesho Oktoba 13 nchini Marekani .
Mbio za...
Rais Ruto ahudhuria kutawazwa kwa kasisi Gachihi wa KDF
Rais William Ruto anahudhuria sherehe ya kutawazwa kwa kasisi Wallace Ng’ang’a Gachihi,kuwa askofu wa jeshi la Kednya katika uwanja wa kijeshi wa Ulinzi Sports...
Comoros waigutua Tunisia nyumbani mechi ya kufuzu AFCON
Comoros waliishanagza Tunisia walipolaza bao moja kwa bila katika mechi ya kundi A, iliyochezwa mjini Tunis Ijumaa usiku.
Bao la Comoros lilipachikwa dakika ya 63...
Raila aongoza mkutano wa ODM Mombasa
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anaongoza mkutano wa chama cha Orange Democratic Movement-ODM katika kaunti ya Mombasa.
Mkutano huo yamkini unatarajiwa kutoa mwelekeo wa...
Adani yasaini mkataba wa shilingi bilion 95.6 na KETRACO
Kampuni ya KETRACO imesaini mkataba wa kima cha shilingi bilioni 95.68 na kampuni ya Adani Energy Solutions kwa kipindi cha miaka 30.
Kulingana na Waziri...
Mariga ndiye mwaniaji mwenza wa Hussein uchaguzi wa FKF
Kiungo mkabaji mstaafu wa Kenya MacDonald Mariga ndiye mwaniaji mwenza wa Hussein Mohammed, kwenye uchaguzi wa shirikisho la soka nchini FKF unaoatarajiwa kuandaliwa Disemba...
Serikali ya Cameroon yapiga marufuku habari za afya ya Rais Biya
Serikali ya Cameroon imepiga marufuku vyombo vyote vya habari nchini humo kuchapisha au kuzungumzia habari za afya ya Rais Paul Biya, kufuatia uvumi kuwa...
Simba wa Cameroon waifukuchua Harambee Stars
Wenyeji Cameroon wameititiga Kenya mabao 4-1 katika mchuano wa kundi J,kufuzu AFCON mwaka ujao uliosakatwa ugani Ahmadou Ahidjo mjini Yaounde Ijumaa jioni.
Simba wa...
Usaili wa mwenyekiti mpya wa IPOA kuandaliwa Oktoba 22 na 23
Mahojiano ya kumtafuta mwenyekiti mpya wa Mamlaka Huru ya Kuangazia Utenda Kazi wa Maafisa wa Polisi, IPOA yataandaaliwa kati ya Oktoba 22 na 23.
Wadhifa...